Recent content by Kibajajitz

 1. Kibajajitz

  Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

  kama nawaona vile hahaha poleni
 2. Kibajajitz

  Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

  hahahha valentina ni mimi hahaha
 3. Kibajajitz

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  hahaha na kweli mzee ila nimejiwekea kila siku nizalishe 10000 sitaki mambo mengi nataka niwe namkula mdogo mdogo
 4. Kibajajitz

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  mambobet leo nimeamka na supu huku mikeka mingine akusubiriwa baka na roma ninywe supu tena kesho
 5. Kibajajitz

  Habari Njema: Kuchimba dawa kwa abiria sasa ni dakika 20

  nakuunga mkono hojaa bei ya hotel tunazopelekwa sio rafiki kwa mifuko yetu
 6. Kibajajitz

  Infinix hot 8 not receiving calls but shows missed call

  mkuu nipo nje ya topic hivi simu aina ya blackberry priv na huawei y9 prime ipo nzurii
 7. Kibajajitz

  US, UK , Kenya Paypal

  upo vzr sana mkuu.
 8. Kibajajitz

  Oppo Reno 5 wadau mna mtazamo gani juu ya hii simu.

  kuanzia A70 mkuu hatajutiaaa
 9. Kibajajitz

  Oppo Reno 5 wadau mna mtazamo gani juu ya hii simu.

  huyo mshamba tu ashazoe vi A series vyake vya 10s anadhani zote zipo hivo
 10. Kibajajitz

  Mwenye uzoefu na hivi ving'amuzi vipya vya antenna ya azam

  ni kisambuzi kizuri tu kwa kweli hd ni hd kweli sio ubabaishaji.nadhani kuna kama channel nne za hd hizi za michezo
 11. Kibajajitz

  Leo nimemuota Magufuli Amekufa, usiku wa kuamkia leo, Nikafadhaika sana. Hii maana yake nini?

  ni ndoto nzuri sana mkuu.ukibahatika kukutana na kiongozi wa nchi kwenye ndoto basi tegemea mambo yako yalifungwa yatafunguka utapanda cheo kama ulikuwa na kazi.au jambo lako lililokuwa linakutatiza litatimia.sebule kuwa na vitu manaake mafanikio kadri ulivyokuwa unaona vitu vingi sebuleni...
 12. Kibajajitz

  Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

  Unamawazo kama yangu mkuu nilikuwa najiuliza hapa
 13. Kibajajitz

  Njia gani nzuri kutoka Dar kwenda Mafia, Pwani?

  Kuna boat mpya ya kisasa pale nyamisati
Top Bottom