Recent content by Loftins

  1. Loftins

    Coastal Union 0 - 1 Azam SC| NBC Premier League | Mkwakwani Stadium | 06.10.2023

    Mod wa zamu atakuwa wakike hajui mampira hadi saa tisa hii uko live
  2. Loftins

    Mwezi wa tano (5). Mbezi malamba mawili hatuna maji hivi serikali ina mpango gani na sisi?

    Unapajua kifuru? Kule wanaishi wafu yani bora ukakae Sumbawanga vijijini kuliko hiyo malamba
  3. Loftins

    Mwezi wa tano (5). Mbezi malamba mawili hatuna maji hivi serikali ina mpango gani na sisi?

    And you're proud of this? Haki wewe wa kunyonga Mnyika alianza hizi harakati toka akiwa mbunge wa ubungo hadi baadaye Malamba yani Mbezi yote mpaka na majirani ni majanga maji shida sitowahi ishi hayo maeneo tena
  4. Loftins

    Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

    Huyu atakuwa ni marketer kwenye hilo duka. Jina tu ni BEI BURE 😂
  5. Loftins

    Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

    Ni miongoni mwa watu wachache sana warefu kutoka ukanda wenu. Ila uweusi ni base yenu yani mmebarikiwa kama mikaa 🤮
  6. Loftins

    Leo nimefukuzwa kazi rasmi

    Kama lako tu wewe ni Semsigwa kutoka Mseke
  7. Loftins

    HAWA WATU WA GO BET WANA MATATIZO GANI KICHWANI

    Google pixel 3a njoo nikuuzie pixel 5 kwa laki tatu tu
  8. Loftins

    Biashara ya daladala Dar ishaingia mdudu

    Mbona mbezi zipo kibao tu na mimwendo kasi ipo
  9. Loftins

    Msaada: Mwanafunzi wa kike kupotea kwao haonekani siku ya 5

    Unajaribu kusema wangu nisimsomeshe?
  10. Loftins

    Leo nimefukuzwa kazi rasmi

    Easy bro, risk maisha yako ni eidha ushikwe ufungwe au utoboe. Akili kumkichwa USIUE tu
Back
Top Bottom