Recent content by Logikos

  1. Logikos

    Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Ukishajua kwamba simu ni communication na communication ni relay of information kwahio ukiwa unaongea na mtu hata kama ni mzazi wako current information ni known (unajua mnaongelea nini) na nyingine ikiita hata kama ni unknown number unaweza kumwambia unayeongea nae sasa kwamba ngoja upokee hii...
  2. Logikos

    Kagera kinara matumizi ya vyoo visivyo bora

    Utafiti huo una walakini sababu na sewage system ya hapa Bongo we are Shitting where we are eating..., kwahio wale wenye pit latrines kwangu mimi ni bora kuliko wale walionganishwa kwenye maji taka ambayo yanapelekwa kwenye vyanzo vya maji bila treatment ya kutosha au wale watapisha vyoo.... In...
  3. Logikos

    Ewe Muajiriwa: Mara paap umesitishiwa ajira yako, utafanyaje?

    Government / Serikali zaidi ya yote ina-offer Security mpaka ufukuzwe kazi kweli wewe umezidi.... Ndio maana wataalamu walishakuja na Jibu kwamba Money does not Motivate..., Ukimwongeza mtu pesa baada ya muda ataona hio pesa ni halali yake atataka zaidi na zaidi na zaidi... Kuna vitu kama Job...
  4. Logikos

    Bashungwa Ashiriki Maombi na Dua ya Kuliombea Taifa

    Ni Vema na Haki lakini isijekuwa hizi Hafla tunazilipia..., Na hapo itakuwa si sawa sababu sahizi naona ni any excuse for a Party.... Party after Party..., Bumper to Bumper...
  5. Logikos

    Ukipewa nafasi ya kuwa Kiongozi kwa siku moja ni kitu gani utabadilisha cha kwanza?

    Kuongeza muda nikae zaidi ya siku moja....; Mabadiliko ni muendelezo huwezi ukafanya long term plans in short term...; Kwahio Viongozi inabidi watekeleze kilichoshapangwa na wadau sio kubadilisha au kufanya wanachotaka.... Zinahitajika systems / Taasisi za kuweka infrastructure rafiki ili...
  6. Logikos

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Kwahio Samia akifanya au asipofanya right inakuwa wrong or vice versa ? Mbona tumekuwa watu wa kuunganisha mambo pasipo muunganiko ?!! Ukisema mbona Samia hafanyi unamaanisha akianza kufanya na wengine wafanye ? Kwanini tusisimamie haki no matter the circumstances.... Kwahio sababu hapa Samia...
  7. Logikos

    Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    Juzi niliongelea suala moja mtu anapoandika UZI tena kwenye Heading alafu kuna ambiguity kuhusu facts anapunguza credibility ya kilichoongolewa Moja nimecheki UZI Husika katika page ya 900; post ya mwisho ni namba 17,991 mpaka dakika hii kwahio posts zote ni hizo.... Mbili tukija suala la...
  8. Logikos

    Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

    Sasa hapo kuna upya wowote ? Hizo ni long Con mtu anawekeza hata mwaka mzima anakupanga ili mwisho wa siku akumalize...
  9. Logikos

    Shilingi Trilioni 1 kutoka World Bank kuigeuza Dar kuwa kama Dubai. Ni mkopo wa mradi wa DMDP-II

    Na huo ni mkopo ambao tutalipa na tunakopa kuifanya Dar iwe kama Dubai Kweli na hii inferior mentality tutaendelea kuwa mediocre..., Kwanini watu wasiseme tuifanye nchi yetu iwe kama Tanzania ?!!! Hatuna hata identity....
  10. Logikos

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

    Hata wangefanya self service cha maana bei iwe rafiki na bei waliyoweka sio rafiki...., Hivyo kwangu mimi hii kitu ni lost opportunity
  11. Logikos

    Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    Hao wachangiaji milioni moja umewahesabu vipi
  12. Logikos

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Ukishakuwa na perception ya kwamba unatawaliwa / utawala ni sawa na sio kwamba hawa ni watumishi wetu tunaowalipa na tumewapa vyeo kama dhamana utaendelea kuona kila kinachofanyika ni Hisani na sio wajibu..., hence hata ukipewa pungufu utashukuru na sio kuhoji kwanini hakiendani na malipo...
  13. Logikos

    Wakati tuko Busy na Yanga na Simba watu wanagawana nchi

    https://www.jamiiforums.com/threads/uchumi-mamboleo-timu-haijengwi-na-washambuliaji-pekee.2125056/ Shukuru watu wanaongelea Mipira (An Opium of the Mass) Huenda wasiongeongelea Mipira wange-turn kwenye Imani nyingine (Na Since Mipira hio angalau inasaidia Uchumi basi ni vema) Wa kulawaulumu ni...
  14. Logikos

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Ushauri mara nyingine ukitaka kubisha kitu anagalau tafuta Data au hata uwe unasoma kilichoandikwa.... Mwanzo Vijijini inapopeleka REA ilikuwa 27k na pengine mpaka kwenye laki tatu na ushee anapopeleka Tanesco Awamu ya tano wakasema wote bei itakuwa hio (27K)..., Samia alivyoingia bei...
  15. Logikos

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    JPM alibadilisha kila mtu atoe hio na sio vijijini pekee Samia akaja akasema itaendelea baada ya hapo kama yalivyo mambo mengi ya wanasiasa kilichosemwa tofauti na kilichotokea (Januari akapindua Meza) Pitia hapo Privatisation only serves public interest if and only if kunakuwa na...
Back
Top Bottom