Recent content by TAI DUME

  1. TAI DUME

    Naomba tofauti kati ya "Creditors" na "Debtors" kwenye accounts.

    You mean gugo imeshindwa kukusaidia? Ok hapo Kuna mdaiwa na mdai.
  2. TAI DUME

    Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    Yaani siri zilikuwa zinamilikiwa na kikundi cha watu wachache, then sasa hivi tunazijadili mitandaoni bado unaita ni siri? Hizo zinaitwa siri huwa zinalindwa by any cost, na kama ikionekana kuna viashiria vya kuvuja basi watakkuja na propaganda kibao ili to neutralize the situation.
  3. TAI DUME

    Ukiulizwa swali hili kwenye Interview unatakiwa ujibu kitu gani?

    Best answer ni " NIPENI MTAKACHOJISKIA", jokes. Unaweza ukawajibu ifatavyo: "Nafahamu kiasi cha mshahara kinalipwa kutokana na sababu nyingi ikiwemo majukumu ya kazi husika, bajeti pamoja uzoefu wa mtu. lakini kwangu mimi naangalia kiasi ambacho kinaweza kunisaidia kukidhi mahitaji yangu...
  4. TAI DUME

    Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    Youtube nako kuna muvi mzee baba, sio kila taarifa ya yutyubu ni valid. Basi hizo siri sio siri tena mpaka wameruhusu tuzijadili huku JF.
  5. TAI DUME

    Simba atabeba kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika 2023/2024

    Mkuu ujnaonaje ukabeti leo hii kwamba simba bingwa. Weka buku then upate mamilioni mwezi watano
  6. TAI DUME

    Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

    Utabiri wako umefanyiwa kazi na viongozi wa utopolo. WATAINGIA BURE kabisa yaani tiketi kuwahi, na bado hawatajaza uwanja
  7. TAI DUME

    Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    Toka dini gani kwenda ipi? Boresha uzi wako
  8. TAI DUME

    Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

    Naona serikali inaingilia utani wa jadi badala ya kujikita kwenye kuboresha national teams
  9. TAI DUME

    Napendekeza Yanga kukata Rufaa juu ya droo yao ya CAF

    Hukuolona lile zoezi lao la kupiga vichwa mawe makubwa yaliyokuwa yanaangushwa kutoka golofani
  10. TAI DUME

    Yanga mlisema mnataka Chai iweje mnalalamika mnaungua kwa Mamelodi

    Wacha wee, yaani wanakutukana wewe?
  11. TAI DUME

    Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

    Duuu usinikumbushe ile situation asee. Kule ni mwisho wa reli lkn kwa hii story pia ni mwanzo wa mauzauza
Back
Top Bottom