Hzo nzo ni starehe kama kwenda kuangalia mlm kilimanjaro. Kwa hali ya umaskini tanzania na kwenye familia zetu c dhani kama tunachoice. Hizo hela za starehe ni bora kusomesha watoto wa ndugu na na marafiki. Tusiige kila kitu wanachofanya wazungu kwaani hali yao inawaruhusu.
taarifa nlizopata ni kwamba raia wa tanzania wameshindwa kulala kutokana na milipuko ya mabomu huko mpakani tunduma kutokana na vurugu za uchaguzi wa zambia. Inasemekana kuwa watanzania wengi wanaoishi tunduma wako kwenye ardhi ya zambia. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
Mi naona muda umefika sasa na sisi watanzania kila mmoja wetu achangie kwenye maendeleo ya taifa lake baadala ya kuitegemea serikali kwa kila jambo. Kuna watu wanamijumba ya thamani kubwa hadi biliona lakini hajawahi hata kujitolea hata cent 1 kuchangia maendeleo yoyote. Kwa mfano float jackets...
democratic system mst follow democratic principles, no shortcut, halima mdee isn't perfect she can make mistakes.
Mkiogopa cost hata katiba mpya haitakuwa na uhalali kuliko ya zamani.
"kwanini Tanzania bado maskini miaka 50 ya uhuru", ndio kongamano linalo karibia kuanza hapa muccobs, watoa mada ni prof. Issa Shivji, Mh. Samwel Sitta, Dr. Harrison Mwakyembe, Prof Suleiman Chambo,Mr Mangasini (lecturer) and others. Najua ndugu zangu wana jamii mna mwono mkubwa sana...
kwanini Tanzania bado maskini miaka 50 ya uhuru
"kwanini Tanzania bado maskini miaka 50 ya uhuru", ndio kongamano linalo karibia kuanza hapa muccobs, watoa mada ni prof. Issa Shivji, Mh. Samwel Sitta, Dr. Harrison Mwakyembe, Prof Suleiman Chambo,Mr Mangasini (lecturer) and others...
"kwanini Tanzania bado maskini miaka 50 ya uhuru", ndio kongamano linalo karibia kuanza hapa muccobs, watoa mada ni prof. Issa Shivji, Mh. Samwel Sitta, Dr. Harrison Mwakyembe, Prof Suleiman Chambo,Mr Mangasini (lecturer) and others. Najua ndugu zangu wana jamii mna mwono mkubwa sana kuhusiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.