Recent content by Kau Azzy

  1. K

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Very interesting, I'll be intouch with this useful thread.
  2. K

    Value Renention Fees ni wizi wa dhahiri wa Bodi ya Mikopo

    Asante Madam Mwajuma kwa mchango wako, hoja ya msingi hapa si kutokulipa mkopo, ni kweli kwamba unapashwa kuanza kurejesha mkopo baada ya mwaka mmoja vinginevyo kuna 10℅ penalty. Hoja ya msingi hapa ni kuwa kuna uhalali(kisheria) kwa wanufaika wa mkopo wa kabla wa mwaka wa masomo 2012/13 kulipa...
  3. K

    Value Renention Fees ni wizi wa dhahiri wa Bodi ya Mikopo

    Asante Bei Mbaya, nasubiri mchango wao wa mawazo.
  4. K

    Value Renention Fees ni wizi wa dhahiri wa Bodi ya Mikopo

    Kwa wale ambao wameanza kurejesha mikopo yao nadhani wamekutana na hiki kitu kinachoitwa Loan Retention Fee. Kuna tozo ijulikanayo kama “Loan Retention Fee” ambayo ni 6% kwa mwaka (6% per annum) ya kiwango cha fedha ulichokopa na inakatwa hadi pale utakapoanza kurejesha mkopo wako. Pengine...
  5. K

    Elections 2010 Na tuyatafakari haya ya Lowassa

    Views and suggestions are highly appreciated.
  6. K

    Elections 2010 Yapi aliyoyafanya mtukufu rais ?

    Views and suggestions are highly appreciated.
  7. K

    Elections 2010 Tunahitaji Tanzania Mpya

    Views and suggestions are highly appreciated.
Back
Top Bottom