Mtumishi wa umma aliyerudishwa kazini na Tume ya utumishi wa umma kwa masharti kwamba shauri likaanze upya kwa sababu Mwajiri alikosea utaratibu wa kisheria, akirudishwa anastahili kulipwa mishahara yake kwa kipindi alichokuwa nje ya kazi au hastahili kulipwa?
Naomba msaada hapo.
1. Hati ya Mashtaka inapoandaliwa na mamlaka isiyo halali kisheria hapo inakuaje?
2. Hati ya Mashtaka ambayo imerejea vipengele vya kisheria visivyo sahihi, hili nalo kisheria limekaaje?
Naomba kupewa msaada hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.