Recent content by Kasomo

  1. Kasomo

    Hivi kuna tofauti kati ya biashara ya Forex, kubet na ununuzi wa hisa?

    Well mi naona betting is betting kama ilivyo na forex ni betting lakini yenyewe risk yake ndogo ukilinganisha na betting yenyewe. Lakini inapokuja ishu ya hisa, inategemeana na wewe unavyoucheza mchezo, kama unanunua na kusubiri baada ya muda zipande ili uuze then unakuwa speculator, kwa...
  2. Kasomo

    Mbegu nzuri inayotoa mazao bora ya mihogo.Tafadhali

    Muongozo wa Kilimo Bora Cha Muhogo - Mogriculture Tz pita hapo ndugu naamini utapata mwogozo bora na majibu ya maswali yako.
  3. Kasomo

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    Nafikiri ni muhimu sehemu ya kufugia ikawa imezibwa juu maana wanapenda kururuka kwa mbawa na wanaweza kuruka umbali mrefu kiasi.
  4. Kasomo

    Kamanda Mambosasa: Waliovamia na kuwapiga raia Ukonga Mombasa ni wahuni wanaojiita kuwa ni Askari Polisi

    Kuwatetea wao ni kujitetea yeye, kwa sababu kwa vitendo hvyo vya polisi yeye ndo anakuwa hajafanya kazi yake. Polisi wanapokea amri tu!
Back
Top Bottom