Recent content by Msigazi Mkulu

  1. Msigazi Mkulu

    Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

    Mimi naomba unipokee tu nakuja London mwakani April kwa matembezi ya wiki moja tu, tunaweza juana kuanzia hapo.
  2. Msigazi Mkulu

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

    Mimi huwa nafurahi sana vijana kuwa hivyo ili mbususu zipatikane kwa wingi
  3. Msigazi Mkulu

    Hivi hizi sheria wanazowapa wakimbizi zinatolewa na Serikali ya Tanzania au ni wahuni fulani?

    Vituo vya wakimbizi ni upigaji tu hamna kitu hapo na hao wakimbizi wapo kwa maslahi yao wakisubiri kwenda Ulaya ba Marekani
  4. Msigazi Mkulu

    Green card lottery ni Umanamba mamboleo

    Wewe usiombe ili ubaki bongo upige pesa mingi.
  5. Msigazi Mkulu

    Wanajeshi wakitizama wavuvi wanavyovuta ndege kwa kamba

    Huwa nashangaaga sana watu wanapowasifia hawa askari JWTZ mi huwa nawaona kama wanakulaga mishaara ya bure kabisa, bado na posho wanaongezewa.
  6. Msigazi Mkulu

    Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

    Huwa najiuliza muda bila majibu hivi zima moto na uokoaji wanafanyaga kazi gani?
  7. Msigazi Mkulu

    Rais wa Equatorial Guinea atangaza kuwania Awamu ya Sita

    Kun mwingine wa Cameroon Bia, ndo anayeongoza kukaa madarakani
  8. Msigazi Mkulu

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Hamna kocha hapo, kazi kuwapendelea wazawa tu.
  9. Msigazi Mkulu

    Floppers Players wa Simba dhidi ya Azam FC

    Sijawahi kuwa na imani na wachezaji wa kibongo na huyu kocha anawapenda sana, sasa ngoja muone aibu
  10. Msigazi Mkulu

    Quattara wa Simba alichemka wapi, now hapati namba

    Huyu kocha naona anapendelea wachezaji wabongo watamuangusha muda si mrefu
  11. Msigazi Mkulu

    Sera Mpya ya Elimu ijayo ime-base Katika 'Wanyime Elimu Uwatawale'

    Hizo shule binafsi zinajiegemesha kwenye matokeo tu.
  12. Msigazi Mkulu

    Sera Mpya ya Elimu ijayo ime-base Katika 'Wanyime Elimu Uwatawale'

    Wewe utakuwa ni mdau wa shule binafsi maana umeshaona kifo shule zenu, mlikuwa mkitumia matokeo ya darasa la saba kujitangaza kwahiyo hamna tena cha kutumia kujitangaza. Inabidi uelewe kuwa elimu kuanzia awali hadi kidato cha nne ni lazima kila mtu aipate kwahiyo unaweka mitihani ili iweje...
  13. Msigazi Mkulu

    Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

    Anaenda moja kwa moja kidato cha kwanza kama alivyoingia la sita akitoka la tano.
  14. Msigazi Mkulu

    Yanga akitolewa CAFCL atakuwa amepata hasara kwenye usajili

    Inategemea pia, wakimpanga na Pyramid anatobolea wapi kwenda makundi CCC Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom