Recent content by kamikaze

 1. kamikaze

  Dollar ya Marekani inashika nafasi ya tisa kwa thamani duniani

  Mtoa mada naomba kujua shilingi yetu ya Tanzania inashika namba ngapi Duniani
 2. kamikaze

  Simu original za Nokia zinapatikana wapi?

  Samahani Wanajamvi, naomba kuuliza ni duka gani Dar linalouza simu Original za Nokia (Smartphone) ?
 3. kamikaze

  Naomba kufahamishwa ilipo gym nzuri maeneo haya:

  Ndugu wana jf, nataka kuanza kufanya mazoezi kwenye gym, naomba kufahamishwa ilipo gym nzuri na trainers wazuri pamoja na malipo kwa mwezi katika maeneo haya Mwenge, Mbezi (Bagamoyo road) , Tegeta na Kunduchi, aksanteni
 4. kamikaze

  Je, DSTV wameshusha bei za vifurushi vyao? Tupeane mrejesho

  Sijui kwanini kuna watu Ni wagumu kuamini, ukweli Ni kwamba vifurushi vya dstv vimeshuka na kwa mfano kifurushi cha compact(Tshs 44,000/=) kama Ni mpenzi wa mpira utaona ligi ya uingereza,itali,spain na championship ya uingereza na Huwa wanaonesha bahadhi ya mechi za uefa champions league.
 5. kamikaze

  Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!

  Sasa Sportpesa watuwekee MegaJackpot kama Kenya tuwanie mabilioni,sio mbaya wakianza na dau la bilioni moja.
 6. kamikaze

  Angalia kitu kipya cha Mopao, Papa Ngwasuma

  Mzee mzima anatisha, LeGrand Mopao
 7. kamikaze

  Keith Sweat Vs R Kelly

  Mpaka leo sijaona mwanamusic solo artist wa rbn mkali kama Rkelly na Joe Thomas, kwa upande wa group kwangu mimi ni Boys 2 men
 8. kamikaze

  Wasanii wa East Africa Bado Ni Local Champions, Beyonce awatosa

  Acha utani kwenye mambo serious,Beyonce number nyingine.
 9. kamikaze

  Nafasi ya Kazi-Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania(The Open University of Tanzania)

  Wana jamvi, yoyote mwenye vigezo vya hii kazi na anayeitaka basi asisite kutuma maombi. Nafasi iliyotangazwa ni ya Vice Chancellor.
 10. kamikaze

  Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!

  Samahani sana mkuu, naomba unieleze ulivyofanya mpaka kuweza kuweka hela kwenye akaunti yako ya 1xbet kwa kutumia skrill, naomba unielewe ukiishajisajili kwenye skrill unafanyaje kuweza kuweka hela kwenye skrill then uhamishe kwenye 1xbet akaunti
 11. kamikaze

  Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!

  Kuna mdau ambaye amefanikiwa kuweka pesa kwenye 1xbet kwa kutumia mpesa MasterCard? Kama yupo naomba anifahamishe alivyofanya,aksante
 12. kamikaze

  Movie ya Kibwetere

  Naomba kuuliza,hivi kuna movie inayoelezea kisa cha kibwetere kuwachoma moto waumini wake,kama ipo naomba kujua jina la hiyo movie.
 13. kamikaze

  Karo la maji machafu kujaa maji baada ya muda mfupi

  Wana jamvi naomba mnisaidie solution la karo la maji machafu kujaa maji baada ya muda mfupi., yaani nikileta lile gari kubwa kunyonya baada ya mwezi linajaa na matumizi ya maji sio mengi kiasi cha kujaa muda huo mfupi.
Top