Recent content by kambipopote

  1. K

    Nahitaji kukodi vifaa hivi kwa siku moja tu: Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama

    Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar. Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM. Shukrani
  2. K

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Hi. Nilisema nauza soya. Kilo sh. 1,300 kwa kilo. Imebaki tani mbili yaani kilo 2000. Soya ipo Iringa mjini
  3. K

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nimemwelekeza aende duka la Assad Animal Feeds lipo Ubungo Kituo cha mafuta. pale atapata malighafi za viwandani pamoja na zisizo za viwandani (mashudu, damu, mifupa n.k)
  4. K

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nenda Ubungo kituo cha mafuta kuna duka wanauza chakula cha kuku na hizo malighafi ukitaka kwa jumla au kupimiwa kwa kilo chache. Duka linaitwa Assad Animal Feeds
  5. K

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari zenu wanaJF. Nauza Soya Lishe ipo Iringa. Nisaidieni koneksheni. Asante
  6. K

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nauza Soya Lishe kilo sh. 1,400 ipo Iringa mjini. Mwenye kuhitaji anicheki PM
  7. K

    Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo

    Nimekupata
  8. K

    Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo

    Barikiwa
  9. K

    Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo

    Ndio maana naulizia soko kabla ya kufika sokoni
  10. K

    Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo

    Ndio maana naulizia soko kabla ya kufika sokoni
  11. K

    Msaada kuhusu bei ya vitunguu swaumu

    Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo Habari zenu Wakuu. Nahitaji msaada wenu juu ya bei ya sasa ya kulangulisha vitunguu swaumu sokoni Kariakoo kwa kilo moja. Au kama kuna mdau ana namba ya simu ya dalali wa vitunguu Kariakoo, tafadhali anipatie. Mimi nipo Iringa na nina vitunguu swaumu...
Back
Top Bottom