Recent content by Kambi ya Fisi

  1. Kambi ya Fisi

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Ukishamla tu tiyari umeunganishwa naye, unapochomeka tu ikazama ndani kisha ukamwaga tiyari ni muunganiko wa mwili mmoja, ni wako huyo usimkimbie.
  2. Kambi ya Fisi

    Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

    Endelea kumpa pole mwanaume mwenzako anayelipwa mshahara, wakati huo huo hajui kuna mjinga mmoja anampa pole ilhali hajawahi kulala njaa.
  3. Kambi ya Fisi

    Kama Makonda RC wa Arusha mnadhani ana tatizo basi hilo tatizo analo aliyemteua

    Ikiwa Makonda ni mhalifu ama aliwahi kuwa mhalifu na hajawahi kuchukuliwa hatua zozote ila anateuliwa tu kuwa kiongozi, basi huyo bosi wake anayemteua ndiye mhalifu mkuu. Acheni kumsumbua kijana 😂😂
  4. Kambi ya Fisi

    Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    Baada ya kujichosha mwenyewe so ndo umestuka sasa 😂😂😂 Una akili ya 🐸🐸kabisa tena ni wale🐸🐸og
  5. Kambi ya Fisi

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Hayo majina yote ni ya wazungu, we umeyatafri kwa kiswahili, hivyo bado hujapendekeza jina la kiafrika 😂
  6. Kambi ya Fisi

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Mpe jina la Mzize.
  7. Kambi ya Fisi

    Mpangaji kama huyu unadili nae vipi?

    Kafuta kwa sababu kuna tusi baya hapo 😂😂😂
  8. Kambi ya Fisi

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    ".. Ole wake mtu (nabii) asemaye kwamba Mungu amesema nami ilhali sijasema naye". Hiyo ni kauli (onyo) kutoka kwa Mungu mwenyewe. Walikuwepo na wataendelea kuwepo hao manabii wanaotumia kisiasa Ila mwisho wao huwa ni mmbaya kabisa.
  9. Kambi ya Fisi

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Kama una kumbukumbu za kutosha utakumbuka kuhusu unabii wa nabii TB Joshua alipotangaza hadharani kuhusu Edward Lowassa kwamba huyo ndiye rais wa 5 Tanzania, na Mungu ndiye aliyemfunulia hayo. Hivi umewahi kujiuliza kwa nini Edward Lowassa hakutimiza huo unabii? Mie naamini kuwa nabii TB...
  10. Kambi ya Fisi

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Vigezo vya nabii wa uongo anavyo. Katika unabii wake hajamtaja Yesu kama mhusika mkuu wa huo unabii, maana yake ni kwamba huo unabii ni mihemko yake binafsi na hajafunuliwa na Yesu.
  11. Kambi ya Fisi

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Ni nabii wa uongo huyo. Japo kasahau kuweka namba ya kupokea sadaka nono, huyo nabii ni sawa na wapiga ramli aka wazee wa sadaka ya kuku wa rangi nyeusi.
  12. Kambi ya Fisi

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Aliyekuambia kuwa mimi ni mchaga ama mtu wa kaskazini kakudanganya. Mie ni mwenyeji wa Ng'walogwabagole ni msukuma pyua wa ng'weli, Ila siungi mkono Gwaji boy kugombea urais kwa tiketi ya Chadema. Hana sifa hata moja kwa kifupi..... Hafai kabisa, Ila kwa tiketi ya ACT WAZALENDO anafaa kabisa.
  13. Kambi ya Fisi

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Utabiri ungasema kwamba Gwaji boy atagombea kwa tiketi wa ACT, ningekubaliana na huyo nabii. Ila kwa tiketi ya Chadema hapana.
  14. Kambi ya Fisi

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Kama umeshamkula tayari umeshaunganishwa naye, hapo ni hadi kifo kiwatenganishe. Ni mpenzi wako huyo usimkimbie.
Back
Top Bottom