Ni kweli CCM imetulea na tuko vizuri. Hata hivyo kwa kweli ni muhimu tukipata wasaa tujadili mambo ya msingi kwa uhalisia.
Muungano lazima udumu daima. Tunachozungumza ni kuweka mfumo mzuri udumu hata milele.
Jibu lake ni kuwa tuliungana nao kwa kuwa walikuwa na ni majirani. Na walikuwa na soo tukawa tunawakingia kifua kiaina. Muhimu turudi mezani kwa uwazi. Tujadiliane, tuungane kabisa. Ina faida kubwa. Na dunia itatuheshimu. Faida kwa wote zitakuwa zaidi kuliko hivi tunavyoendelea sio baridi sio...
Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena.
Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
Habari ndugu zangu.
Mimi nina jambo dogo, madirisha ya alminium, yanayo-slide yana upenyo naona kwenye nyumba yangu yenye wavu wa mbu kwenye madirisha mbu wanapita! Hizi reli zinaacha nafasi.
Hivi tatizo hili wengine mnalo? Au mmelizuiaje? Au mnalikabilije? Nisaidieni jamani.
US has no permanent friend or permanent enemy but permanent interests. Wakiona prospects za kuigeuza Tz shamba la bibi zaweza kulindwa na fulani watampigania.
Hakuna uwezekano wa povu kutoka tu eti kulinda demikrasia ya wandengereko! Tustuke.
Nakubaliana na wewe kipande kidogo. Kwamba kuna misaada hutika kwa hao unaowahusudu kuja hapa, ila kwa taarifa yako kila senti huwa na ndoano ya hayari. Je wewe kwa mawazo yak9 umekata tamaa kwamba milele utakuwa mtumwa wao. Mwelekeo wetu ndio njia bora. Na hata sasa misaada yao wameipunguza na...
Na kwa kweli wazungu wanajua potential ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Wanafanya vyovyote waendelee kuwa juu. Magufuli kiboko yao. Niamini na tuache longolongo ya kujaribu ujinga
Kwa kweli tunaelekea kuwa doner country. Tujiamini na kuwakubali viongozi wasioamini kuwa tuna shangazi huko nje. Hao ni balaa, niamini. Tutajichelewesha tu. Ukweli ndio hu!
Kwamba ni wazungu ni watu wa kawaida Lisu anajua. Kwamba hao wazungu ni tactical na wanafanya kila wawezalo kutunyonya na kwamba lazima kuwakabili kwa jeuri madhubuti anajua Magufuri. Shauri yako ukipinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.