Recent content by kaka2002

  1. K

    Benki gani ni nzuri kwa kufungua akaunti ya mtoto?

    NBC sana Chanua Account. Haina makato ya kila mwezi
  2. K

    Guest au Hotel nzuri eneo la Kawe Dar es Salaam

    Wakuu naomba kwa anajua guest nzuri au hotel kwa Kawe aniambie. Na kama inawezekana na bei zake.
  3. K

    Ujumbe huu umeniliza bila kujua kuwa nalia nini!!

    Kila mtu ana nafasi yake. Mambo ya ndoa ni ya wanandoa wenyewe. Wazazi, ndugu na jamaa wasipewe fursa ya kukuongozea ndoa yako. Itavunjika au itakuwa si ya furaha kwenu wanandoa.
  4. K

    Hiki ni Kiswahili cha kisasa au?

    Ingekuwa ni katika kuzungumza ingeeleweka, lakini kwenye uandishi athari hizo hazipaswi kuwepo. Mi nadhani tuna matatizo ya msingi ya kutozingatia yale tujifunzayo.
  5. K

    Chonde chonde, pamoja na uroho ulionao usile mifupa au ngozi ya hiki kiumbe.

    Umesema vema mkuu. Breed ya vifaranga ndio chanzo cha ukuaji na si madawa. Kuna kuku wangu mmoja wa kienyeji alitotolea kwenye banda la kuku wa kisasa wa nyama. Nimeuza kuku wa nyama awamu nne lakini vyenyewe bado vidogo pamoja na kula na kunywa pamoja na broilers.
  6. K

    Haiba za wakuu wa shule za sekondari za zamani

    Mgohamwende wa Mazengo Complex
  7. K

    NBC badilikeni

    Siku hizi hawana utaratibu wa wateja kuacha kianzio. Unajaza fomu zao tu na akaunti ikiwa tayari unataarifiwa ili uweke hela kwenye akaunti yako. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo

    Tecno W5 haitumi group meseji. Msaada tafadhari
  9. K

    Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

    Acheni ujinga. Fanyeni kazi. Tafuteni pesa. Kila kitu kina sehemu yake katika ndoa/ mahusiano. Kufikiri kwamba mwanamke anaweza tulia kwa mashine tu ni ujuha. Ni lazima kubalance. Vyote ni muhimu kwake
  10. K

    Kwanini Vodacom imekuwa ikikatakata mara kwa mara?

    Uuzaji wa hisa ni takwa la kisheria. Mitandao mingine nayo inatakiwa kuuza sehemu ya hiza zao kwa umma.
  11. K

    Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Nadhani badala ya kumshambulia gavana Ndulu, tuujue ukweli. Bunge limepitisha sheria. Mabeki ni mawakala wa kukusanya VAT na kuipeleka TRA. Kama walikuwa wanakusanya tangu mwanzo bila kuipeleka TRA kama wanavyodai, wachukuliwe hatua za kisheria kwa kuikosesha serikali mapato kwa kipindi chote...
  12. K

    Ni uwendawazimu kudhani tutaenda kwenye kampeni na Uchaguzi bila Dr. Slaa

    Nadhani watu wengi tumejawa na mihemko bila sababu. Dr. Slaa kwa nafasi yake hakupaswa kutumia muda mwingi kiasi hiki kuwa kimya. Chama kikisimamisha michakato yote mpaka hapo atakaporia, itakuwaje? Uchaguzi utasogezwa mbele? Kamati kuu imeridhia, viongozi wengine ktk UKAWA wameridhia na pia...
  13. K

    Kwanini Chief wa Wazanaki hakamatwi?

    Jamani hawa ni viongozi wa kimila sio kiserikali. Hawana nguvu za kisheria kwenye mambo wafanyayo/wazungumzayo.
Back
Top Bottom