Recent content by southernboy

  1. southernboy

    msaada jinsi ya kusajili biashara ,leseni pamoja na gharama zake

    habari waku,nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza mazao ya chakula kama mahindi,maharage na mengine .kwasasa nimeshafanya michakato ya kupata fremu ya kuuzia ila sijajua naanzia wapi kufanya usajili ,leseni yake pamoja na gharama zake. mwenye kujua anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  2. southernboy

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    labda anataka akupeleke kama babakanisend Sent using Jamii Forums mobile app
  3. southernboy

    Anayehitaji dereva

    Habari wakuu,mimi ni fundi mwanafunzi japo ndo najiifunza umeme wa magari bado nipo garage , Pia ni dereva mzuri na leseni ninayo class ABD kwahiyo kwa wakazi wa Dodoma anaye hitaji dereva wa kumtuma sehemu au kupeleka watoto shule na kuwarudisha nyumbani nipo hapa .karibuni
  4. southernboy

    Ipi nzuri kati ya ufundi magari na ufundi uchomeleaji

    asanteni wakuu nifanyia kazi ushauri wenu
  5. southernboy

    Ipi nzuri kati ya ufundi magari na ufundi uchomeleaji

    Salaam wakuu. Naombeni ushauri ni ufundi gani upo vizuri kwenye Kipato kati ya kuwa fundi wa kutengeneza magari upande wa umeme wa magari na uchomeleaji(welding)?.
  6. southernboy

    Kazi za ulinzi kwenye kampuni au mtu binafsi

    Hata wakiwepo ndugu,nenda mzee ukipambane ukishindwa mkuu anipe mm hiyo connection niende huko
  7. southernboy

    Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Hongera mkuu mimi kama mwenyekiti wa majobless wa JF nakutakia kila raheri
Back
Top Bottom