Recent content by Kulupango

  1. Kulupango

    Msaada wa kuondoa tattoo

    dawazakufutamakovu hua ni za muda mrefu miezi mitatu na kuendelea hata mwaka, yeye anatumia tu mwisho huwa inafutika unaweza kuona mwanzo inafanyakazi kisha ikaacha sasaunatakiwa kuendelea kutumia tu hatamiezi 8 inafutika.tafuta wanaotibungozi kwa dawa zamitishamba
  2. Kulupango

    Msaada wa kuondoa tattoo

    Zipodawa za kufuta makovu mwambie awatembelee watu wa dawa za asili wanaotibu ngozi huwa wanachanganya na vitu gani sijui kovu linpotea kabisa kama halina muda mrefu. dawa zingine zinaweza kuondoa makovu ya muda mrefu ilaatatumia hata miezi 9 unaitumia tu mwisho inafutika kabisa asiwe na haraka...
  3. Kulupango

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Nimeongeza tu kwamba zipo za Subway na mimi ndio natumia. Hata umeme ukikatika mita kuu bado kwako utawaka
  4. Kulupango

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Ipo subway, ambapo ukishaifunga wewe utaweka unit kwenye mita kuu kisha zitahamia kwenye submit yako, ikiwa mita kuu ilikua na unit 3 kisha wewe ukaweka unit 20, basi hizo 20 zina transfer kwenda kwenye submitter yako halafu mita kuu inabaki na zile 3. Kwa hiyo hata mita kuu umeme ukikata baada...
  5. Kulupango

    Uchimbaji wa visima mashambani kwa ajili ya umwagiliaji

    Ndio mlisema mnachimba kwa Milioni 45
  6. Kulupango

    SoC03 Benki waweke huduma ya vyoo kwa wateja

    Karibu Benki zote hazina huduma ya vyoo kwa wateja hapa nchini, tunafahamu Benk ni kwajili ya kuweka hela na kutoa hela lakini ofisi nyingi vyoo ni vya watumishi tuu, sasa kama mabenki wateja ndiyo washirika wao kwanini vyoo vinakuwa ni tatizo kwao? Je, wateja wao hawana mahitaji ya kwenda...
  7. Kulupango

    SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  8. Kulupango

    Hali ya watoto na wanawake sio shwari kwenye jamii

    Kwa haraka haraka hao ni kikundi cha wapiganaji wa Congo DRC au BURUNDI. Kwanza karibu watu wanne wamebeba silaha nzito za kivita. Pili inaonesha huyu binti alifanya jambo either la kichawi kwa kuwazingua hao jamaa hapo Kijijini. kwasababu hapo mmoja anasema 'Unatuloga eeh' au huenda huyu binti...
  9. Kulupango

    INAUZWA Beskeli ya gia inauzwa

    Sahihi kabisa
  10. Kulupango

    INAUZWA Beskeli ya gia inauzwa

    Done
  11. Kulupango

    INAUZWA Beskeli inauzwa 80000

    ,
Back
Top Bottom