Recent content by Kacharimbe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

    😳
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

    Ndiyo. Hakuna mtu wa kufundisha
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

    Sawa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

    Ukija inbox, please taja uzoefu kwenye eneo hili na elimu yako
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

    . Awe mkazi wa Mwanza . Uzoefu katika biashara ya laundry . Ofisi ipo Mkolani . Mshahara maelewano . Kuanza kazi 1.10.2024 . Njoo inbox pamoja na offer yako ya mshahara
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye huu wimbo full wa RC aniwekee tafadhali

    Wadau
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu wimbo nautafuta sana. Nimeweka kipande kidogo ambacho nilikipata youtube. Mwenye bao full aniwekee
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye huu wimbo full wa RC aniwekee tafadhali

    Nimeutafuta sana youtube haupatikani. Nimepata kipande tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu dawa za Wakorea

    Asante sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu dawa za Wakorea

    Leo nimekwenda hospitali ya mkoa, wamesema prostate ni kubwa kama 50. Kuna dawa wamenipa, tamsulosin ambayo ni ya kutuliza tu ila wameniambia niende Muhimbili kitengo cha mkojo kwa uchunguzi zaidi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu dawa za Wakorea

    Bado kiongozi. Waliniambia wanichome sindano za magoti kila wiki 2 kwa wiki 5. Walisema ni baridi yabisi. Ndo wakaniambia pia nina tezi dume nilipie 150,000 Ndo nauliza kama dawa zao zinatambulika
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu dawa za Wakorea

    Nilienda kutibiwa miguu kuuma, magoti, mkojo kuuma wakati wa kukojoa, na mkojo kutokuisha wote. Yaani nikikojoa kabla sijarudi kukaa, nasikia tena hasa nikiwa nimetoka kuoga
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu dawa za Wakorea

    Heshima wakuu, naomba kupata uzoefu kuhusu matibabu ya wakorea hapa nchini. Nilikwenda kutibiwa nikaambiwa nina tezi dume (of course dalili wanazozisema zote ninazo). Wakasema nianze matibabu ya mwezi 1 kwa shs 150,000. Naomba mwenye uzoefu anifahamishe maana sijawahi kutumia dawa zao: 1. Je...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mafuru: Knowledge is knowing what to say...

    I wish angekaa kimya
  15. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mmama/Binti wa kunichua

    Mimi ndo nimesema nahitaji kuchua. Wewe kama unataka ngono anzisha uźi wako utawapata
Back
Top Bottom