Recent content by jyfranca

  1. jyfranca

    Mtoto Wa Mkulima Na Wasomi Wa Mlimani ( Makala Raia Mwema)

    Mtoto wa mkulima hakufanya vibaya kuchangia, namkubali kutoa mfano na kila mtu akifanya ivyo tutafika, tatizo hatuna moyo wa kuchangia tunafikiria serikali inaweza kutatua kila kitu. Namkumbuka mzee mwenzangu Ronald Reagan alipowaambia serikali si suluhisho la matatizo bali serikali inaongeza...
  2. jyfranca

    Mbunge gani ungependa kusikia akichangia (au kutoa hoja) bungeni?

    Tatizo letu watanzania tuna kasumba sana ya kufikiria elimu ndo njia pekee ya mbunge kuchangia hoja. Hao wenye darasa la nne wanaweza kutoa mawazo mazuri kuliko hata wenye ph.d. Nakumbuka John Major hakkuwa na shahada ila alikua mmoja wa mawaziri wakuu bora Uingereza, au George Washington hakuwa...
  3. jyfranca

    Pinda na Vita tata ya Mashangingi

    Which is better strategy, bottom up, or top down? Angeanzia na wizara na wawe mfano kwa Halmashauri, ila kama halmashauri zitatolewa kafara wakati matumizi wizarani ni yaleyale au yanaongezeka, basi ili zoezi halina maana. Mtoto wa mkulima aanze na kichwa amalizie mkia. Nyoka anaktwa mkia kwanza...
  4. jyfranca

    Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

    If we adhere to the rule of the law, we should be totally subject to the law of the land, more important the constitution. The constitution is clear that anybody who has been born in Tanzania will be a natural citizen of Tanzania. Jenerali Ulimwengu was declared not a citizen because one of his...
  5. jyfranca

    Ruzuku kwa mwezi: CCM milioni 800/-, Chadema 200/-, CUF 117/-

    Wana haki ya kugombana, namkumbuka Mrema na Marando, kila siku Mrema alikua anlia kuwa Marando kala milioni 104
  6. jyfranca

    Chadema na uchaga

    Aliyeandaa hii hoja anaonyesha hana elimu, kama Dr.Slaa mchaga, au Mtei labda tungeweza kumuelewa, acha ulimbukeni nenda shule
  7. jyfranca

    Kwa Pombe Mkapa Anatisha

    Tatizo letu watanzania kusifiana na kupongezana ila tukiulizana huyu magufuli kafanya nini hatuna majibu. Tuache upumbavu Magufuli hana lolote kama kazi ni kupiga kelele Mrema nagekua rais leo
  8. jyfranca

    Mauaji ya Pemba 2001: Majina ya Watuhumiwa.

    Mtu pekee anayetakiwa kumeza lawama zote ni rafiki wangu wa zamani Maalim Seif sharif Hamad. Aliwatoa mhanga hao wote ili baadae awe makamu wa Rais, aibu tupu na tamaa ya madaraka, Seif damu ipo juu yako. Walijitoa mhanga wakijua wanatetea demokrasia kumbe walikua wanajitoa mhanga ili uwe makamu...
  9. jyfranca

    Fikra za January Makamba Kuhusu katiba Mpya

    If English language is obstacle to you, then use whatever language is understood by a majority of your readers. I detest people who use language that they are not comfortable with and as a result they do not convey the right message to their target readers
  10. jyfranca

    Tanzania yapata ofa ya kuuza mikoa mitatu.tanga, kilimanjaro na arusha

    kama huna cha kuchangia bora kanywe gongo. Habari zako pumba tupu na wala hujui kutengeneza habari, hata mjinga anajua umetunga, pumbavu nenda shule
  11. jyfranca

    Mnyika, ubunge sio kujitolea pesa

    Limbukeni mkubwa, hata kama angekuwa na elimu ya darasa la nne lakini akaweza kuongoza vizuri ni bora kuliko elimu ya chuo na Ph.d alafu uongozi unakushinda. John Major alikuwa waziri mkuu bora Uingereza na alikua na elimu ya sekondari tuu. Bill Gates hakumaliza shule na ameiongoza Microsoft...
  12. jyfranca

    Zitto and Marando - Connecting some dots

    Is this English language? or perhaps a direct translation from Swahili to English? Anyway I cannot critique it much, but I think it is better to use a language which you are comfortable with, a plain English which a native speaker of English can understand is better than a broken English which...
  13. jyfranca

    Lazaro Nyalandu Vs John Mashaka/Mwanakijiji Mdahalo

    Hata iyo Cesna inawezekana ni yake Nyalandu
  14. jyfranca

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Ana Masters ya Finance ya Bristol University, ni rafiki wa karibu sana na Kikwete ingawa kila mmoja hapendi wanachama wake wajue.
  15. jyfranca

    Lazaro Nyalandu Vs John Mashaka/Mwanakijiji Mdahalo

    Alienda kumalizia degree Wartburg College, kila siku alikua mtu wa kusafiri, ndo maana akamaliza na low GPA. Alianzisha mradi wake wa Summer camp akatapeli watu kibao.
Back
Top Bottom