Recent content by junior2008

  1. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

    Ukada lazima uambatane na sifa, vinginevyo falsafa ya Hapa Kazi tu haita tekelezeka ipasavyo!!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Nape Nnauye, laana ya kushusha hadhi ya CCM itawatembelea milele

    Ufisadi anao mwenyekiti na familia yake na ndio maana ameua demokrasia ndani ya chama na kuja na majina kutoka mfukoni mwake! Mwaka huu lazima muondoke tu!!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Sumaye hakuwemo kwenye tatu bora 2005, acha kupotosha ukweli. Tatu bora walikuwa JK, Salim Ahmed Salim na Prof Mark Mwandosya.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nashangazwa na Msimamo wa Mbowe Kuhusu UKAWA

    Kwani ni lazima Zitto ajiunge UKAWA? Si ajiunge na vyama vingine vya upinzani au aendelee na CCM yake anayofanyia kazi?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    Wakati uchaguzi unafanyika Zitto alikuwa tayari ni mwanachama na mbunge wa CHADEMA wa Mahakama tu. Na hata kabla ya hapo Zitto alikuwa tayari ameshawekwa pembeni na mambo yalikuwa yanaenda vizuri. CHADEMA ni chama sio mtu binafsi. CHADEMA ni bora bila Zitto, na wanaolalamika kuwa angebaki CDM...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Capt. John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada

    Mkuu nimeipenda hii, umenichekesha sana!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete, Muhongo ni bomu litakulipukia

    Hiyo kauli Huwa Inanikera sana!! Kiongozi mzuri wa wapi? Unaposhauriwa si na wewe una akili? Jtuachetmtindomwankusingizianwashauriskwari kwa kwa matendo ya washauriwa!!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Fransico Kimasa Shejamabu ajiunga CHADEMA, Kugombea Ubunge

    Wana Sengerema na Chadema tuwe makini na watu wa aina hii. This is Shibuda type! Haiwezekani mtu anahamia Chadema na kutangaza nia ya kugombea ubunge!!!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ajibu na meseji hizi pia

    Ni kweli wananchi wengi wanaitegemea lakini ni walalahoi tu ambao ndio waajiri wa Kikwete na serikali yake. Inatakiwa iboreshwe ila hata viongozi watibiwe hapo. Sio kukimbilia tu nje hata kwa magonjwa madogo madogo na huku wakiacha wananchi wanakufa na hawana pa kukimbilia.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Sitta yapoteza matumaini kabisa Urais 2015

    Hapo umenena mkuu. Kampeni zake kwisha habari yake!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

    Ndio hivyo mkuu!TBC ipo kwaajili ya Magamba sio chombo cha wananchi wa Tanzania. Nilikuwa nasikiliza kupitia WAPO Radio nao wamekatisha Matangazo wakati Lissu anaendelea kutoa ushahidi wa kutokuwepo hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Lissu si Jembe tu bali Kiboko ya Magamba.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jaji atoa Somo la UGAIDI kwa DPP na Wanasiasa

    Mkuu umenifurahisha sana!! Huyo naye ni jamaa ya kina Mwigulu Nchemba, Vilaza watupu CCM!!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mangula na Kinana mmejidhalilisha

    Mkuu kama strategists wa CCM ni akina Tyson, Lukuvi, Nepi, na Nchemba unategemea nini? Wangekuwa wana akili nzuri wangefikiria kuimarisha chama chao na kutatua matatizo na kero za wananchi badala ya kuhangaika na CDM ambayo inapata umaarufu kila kukicha kwasababu ya hizo mbinu chafu. CCM...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kikao kilichofanyika ikulu

    Tatizo sio idadi ya mikataba ila ni uharaka na usiri katika kusaini hiyo mikataba!!
Back
Top Bottom