Recent content by JULEO1

  1. JULEO1

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Wadau wa JF habari zenu?, Ombi langu ni maelekezo ya jinsi ya kuandika CV, Kama inawezekana nisaidieni mfano wa CV.
  2. JULEO1

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya tena huko Mkoani Morogoro! Watu 4 wafariki hapo hapo!!

    Mungu awape faraja na uvumilivu wafiwa wote. Amen
  3. JULEO1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana Sifa Zote.....kasoro ...Sex!

    Kaka upendo wa kweli huvumilia, hufadhili, hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchumgu; hauhesabu mabaya.........................., Kama unampenda kweli hauta hesabu mapungufu yake bali mtachukuliana madhaifu yenu. Kaka ukifanya kinyume...
  4. JULEO1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alikua bikra akanikatalia, wengine wameitoa ananipigia simu nikamzalishe mtoto.

    Kaka hapana kwasababu kisha vunja ahadi, hivyo inaonekana si mwaminifu. Tendo lenyewe linaitwa la ndoa yeye kalitenda vipi?, si mwaminifu huyo na siku nyingine utatoka wataingia wengine.
Back
Top Bottom