Recent content by Joseph_Mungure

  1. Joseph_Mungure

    Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

    Gaza ni gereza la wazi ndugu yangu kila kitu anacontrol Israeli
  2. Joseph_Mungure

    ATCL yaagiza ndege nyingine mpya

    Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesema ujio wa ndege ya mizigo ifikapo Aprili utaiwezesha kubeba mizigo hadi tani 3,000 kwa mwaka na kuondoa adha ya wafanyabiashara waliokuwa wakipeleka mizigo yao nje ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na wadau...
  3. Joseph_Mungure

    Dimba la Benjamin Mkapa kufungwa

    Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeshauri kutotumika Dimba la Benjamin Mkapa ili kufanyiwa marekebisho kwa kile wanachodai kuwa eneo la kuchezea (pitch) limeharibika. Baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakochezwa leo kati ya Yanga SC na KMC FC, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
  4. Joseph_Mungure

    Mbinu mpya za wahalifu

    Picha zinazoonyesha viatu vilivyoongezwa kwato kwenye soli ili mtu anapotembea viache nyayo za mnyama ardhini zimesambazwa pia sana mtandaoni. Miongoni mwa waliosambaza ni gavana wa zamani wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko aliyeandika kwamba viatu kama hivyo hutumiwa na wahalifu kaskazini mwa...
  5. Joseph_Mungure

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Weka like [emoji3596] Ni like post zako
  6. Joseph_Mungure

    Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2

    Kitaifa Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2 Jumanne, Februari 21, 2023 Wadau wa suala la uraia pacha wakitoka mahakamani, kusikiliza kesi ya uraia pacha iliyofunguliwa na Watanzania Sita wanaoshi nje ya chini, iliyofunguliwa Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam. By James Magai...
  7. Joseph_Mungure

    Mwanafunzi ajeruhiwa na Walimu akigomea udanganyifu kwenye mtihani

    Mkuu hapo ni pagumu, kwanza msimamizi wa uchaguzi mwenyewe ccm, IGP kateuliwa na Raisi ccm, Tume ya uchaguzi imeteuliwa na ccm, list inaendelea... Ndio maana watu wanataka Katiba mpya la sivyo ccm itakuwa madarakani milele
  8. Joseph_Mungure

    Mwanafunzi ajeruhiwa na Walimu akigomea udanganyifu kwenye mtihani

    Shule ambazo wamiliki wake hawajielewi, wanashindwa kutumia pesa kulipa mishahara mizuri ili kuvutia walimu wenye uzoefu na wazuri lakini wanahonga kuiba mitihani, Hawa ndio wanasababisha nchi inakuwa na wataalamu wa ovyo
  9. Joseph_Mungure

    Mwanafunzi ajeruhiwa na Walimu akigomea udanganyifu kwenye mtihani

    Mwanza. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mmoja wa wanafunzi waliogoma kufanya udanganyifu katika mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 katika Sekondari ya Thaqaafa iliyoko jijini Mwanza alijeruhuwa vibaya kutokana na adhabu aliyopewa na uongozi wa shule hiyo...
  10. Joseph_Mungure

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Episode ya saba sijaiona
  11. Joseph_Mungure

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Usiku mwema Wana JF, weekend imeisha hivyo kesho tunaingia kwenye majukumu. Tuonane kesho asubuhi. Alamsiki.
  12. Joseph_Mungure

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    True pia mdomo wake ni mrefu, kama anatabasamu hivi. They say he gives a "kiss of death"
  13. Joseph_Mungure

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Watu wa Tabora wanamjua huyu nyoka, nikiwa mdogo huko Tabora nimesikia vifo vingi kutokana na huyu nyoka.
  14. Joseph_Mungure

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Jumapili njema kwenu wote, Mungu awabariki.
  15. Joseph_Mungure

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Yule jamaa ni mtaalam wa nyoka ndio kazi yake, kama unaona sio hatari jaribu wewe kumkamata. Najua Hiko kipindi kipo NatGeo Wild ni jamaa wa South Africa sikiliza maelezo yake vizuri kama yanatofautiana.
Back
Top Bottom