Recent content by John4440

 1. John4440

  Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

  KWA HIYO UMEAMUA KUJA KUTOA SIRI ZETU HUKU?? SASA NITADEAL NA WEWE KISAWASAWA NA WOTE WALIOSOMA UZI HUU Sent using Jamii Forums mobile app
 2. John4440

  CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

  Magufuli ndiye Rais wangu pekee.Ndiye shujaa mzalendo aliyepata kuwepo Tz. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. John4440

  Je, Tanzania imewahi kuwa na Rais mwizi?

  Umeandika upumbavu mtupu! Mwizi ambaye hata watoto wake wanaishi maisha ya kawaida hauna hata aibu kumtuhumu! Mwizi anayejenga flyover,sgr,umeme,hakuna tozo n.k huyo ndiye mwizi watanzania waliyemtaka [emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
 4. John4440

  CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

  Haya sasa umepata viongozi wanaokula kwa urefu wa kamba! Subiri Riziwani ajimegee kwanza ekari zake! Vipi kwanza hapo ulipo kuna umeme?
 5. John4440

  Abraar (Waja wema) Empowerment

  Hawa ni matapeli kuweni makini!
 6. John4440

  Serikali iingilie kati wizi unaofanywa na Halotel

  Niende moja kwa moja kwenye mada. Halotel katika menu ya weekly mega bundle ambayo ulikuwa ukipatiwa dakika 30 mitandao yote dakika 30 halotel na mb 1000 waliamua kukipunguza mpaka kufikia mb 600 kwa wiki. Kama hiyo haitoshi jana jioni waliamua kudanganya watumiaji wake kwa kuandika kwamba kwa...
 7. John4440

  Rais Samia: Kama haumpendi Rais aliyeko, penda nchi yako

  Ona hii mbuzi inakuja kuandika upumbavu gani hapa! Unalinganisha minority na majority ya watanzania?? Watu kama nyie ilitakiwa mnyongwe Sent using Jamii Forums mobile app
 8. John4440

  Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dk. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

  Umeandika Upumbavu mtupu! Umelipwa shilingi ngapi??
 9. John4440

  Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

  Ukitaka kujua ujinga wa watanzania mfano mzuri ni hawa hawa wanaojibu hapa.Uoga na ujinga! Eti nenda ukapigwe na polisi! Haa! Ina maana tunakosa uzalendo kiasi hiki? Nawashangaa sana watu wanaocomment negative kwenye post hii
 10. John4440

  Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

  Nipo Tayari kuandamana
 11. John4440

  Mwisho wa Magufuli na Ndugai: Mungu anaisafisha Tanzania

  ******ko labda uliteseka wewe
Top Bottom