Recent content by jinalangu

  1. J

    Models Vacancy- Part Time !

    A company??? Name less! why dont you put the required qualifications and adress? some people have their identities hidden in this site, by asking them to PM and then come for interview(s) will automatically reveal their identity which they have hidden for reasons. Be careful girls.
  2. J

    Je una mume,mke mzinzi,mwizi,mlevi!!!wahi haraka

    Kaa nae mtafakari tatizo lilipo anzia, vinginevyo utazunguka sana kwenye kila kanisa na mwisho utaenda piga ramli kumtafuta mchawi. Kama unamwamini Mungu jifungie chumbani kwako umweleze vile unateseka, unavyojisikia. For sure ther is a simple solution. Usiwaeleze watu, leo tun manabii wengi...
  3. J

    Mahakama ya kadhi hii hapa!

    Hivi mmesahau enzi za mzee Ruksa? Sikukuu ilikuwa ikiangukia weekend, tunalipa siku ya kazi. Kweli viongozi waislamu safi sanaaa. kwikwiwkiiii:whoo:
  4. J

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Na ndiye anayeleta upupu huu humu ndani, anakuja kwa majina tofauti humu. Afilie mbali
  5. J

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Siyo hizo tu, kuna ambazo alijitumia hapa kwenye forum wiki iliyopita. Huyu ni kichefuchefu cha kutapika
  6. J

    Waziri 'ajitundika' ATCL...................

    Taarifa imejieleza, wana ndege zisizozidi 3, hapo probability ya kusafiri ni akili kichwani, maana hata wateja tunahofia usalama kuzipanda maana haziishagi matengenezo zile.
  7. J

    Waziri Sitta: Dowans ni genge la ulaji wa vigogo watatu; tusiwalipe!

    Yupo wapi? Unataka kutuambia nae anajikaanga kwa mafuta yake?
  8. J

    Basilio Matei Mbuzi Wa Sadaka?

    Tanzania Yetu ndiyo Nchi ya kupendeza, Kote ulimwenguni watu wote watambua, Tanzania yetu ndiyo nchi ya Furahaaaaaaaaa. Shhittttt. Hivi huyo Lowassa anadhani yeye ni Mungu Ama? Huyo mtu wa watu si ajabu ni marehemu sasa. Hataki kuitwa jina/cheo chake? FISADI MKUU nimeongeza
  9. J

    Basilio Matei Mbuzi Wa Sadaka?

    Si hivyo tu, inaitwa nchi ya Amani na inategemewa kulinda amani ya nchi za jirani. Pumbaf:embarrassed:
  10. J

    Marekani kupewa Kigamboni

    Kigamboni iko Dar es salaam Tanzania, Wamarekani wamemilikishwa maeneo, hatutarajii wawe na hati ya kumiliki na tuendelee kuyaita yetu. Swali ni kwamba, hilo daraja lililoombwa ni kwa manufaa ya nani atakayekuwa akiishi huko Kigamboni? Mmarekani au mTZ?
  11. J

    Raia Mwema latishiwa kushitakiwa na Lowassa

    Kazi ipo, Raia Mwema usife moyo. Tanzania Bila Mafisadi inawezekana
  12. J

    Marekani kupewa Kigamboni

    Hivi ni kweli Wamarekani wamezawadiwa eneo la kigamboni in exchange na ujenzi wa Daraja? Swali langu: Hivi iwapo watajenga hilo daraja, litakuwa ni kwa faida ya waTanzania au wa Marekani watakaokuwa ndio wakazi? Je, iwapo hao waMarekani watajenga, je wakazi waTanzania wataendelea kuvumiliwa nao...
  13. J

    Angalia picha hii halafu tafakari!

    Mmmm, alikuwa anachunga mbuzi maeneo jirani na shule ikabidi akashangae wazungu waliofika kutafuta MVC wakamwambia aandike jina lake ubaoni
  14. J

    Wahisani:Bajeti tuliyopewa ni tofauti na ile iliyosomwa Bungeni

    Hahahaha, kaaazi kweli kweli. sipati picha
Back
Top Bottom