Serikali imesema imetumia zaidi ya Sh 900 milioni kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa kipindupindu nchi nzima kwani katika kipindi cha miezi tisa watanzania 21,634 waliambukizwa na ugonjwa huo na wananchi 338 wamefariki.
Mzozo kuhusu tume inayosimamia uchaguzi nchini Kenya IEBC umeendelea kutokota. Waandamanaji katika miji mbalimbali wameendeleza maandamano yao ya kila Jumatatu kushinikiza tume hiyo ivunjwe na iundwe upya, kama upinzani unavyosisitiza.
Mapema Jumatatu mahakama kuu ya Nairobi ilikataa kupiga...
J. F. Kennedy was a very close friend of Nyerere. They have been in touch for a little while before making this State Visit in the summer of 1963. Tanganyika was changing and so was US. The two men are no longer with us but the friendship between our two people still remains stronger than ever.
Pull back from Tanzain Coat of Arms to platform of Victoria Station as train pulls in. MS The Queen & Duke of Edinburgh. President Nyerere from train shakes hands with Queen and Duke, then Prince Charles and Princess Anne, the Duchess of Gloucester, the Duchess of Kent. Queen and President out...
Fedha za MCC zimewekeza kwenye kushuhulikia mtandao duni wa usafiri kwa kuboresha barabara ili kuongeza kuongeza biashara na kusaidia kunganisha jamii na masoko, shule na vituo vya afya, kuboresha ubora wa upatikanaji wa umeme na kupanua huduma za umemena kungeza upatikanaji maji safi na salama...
• $46.3 billion in profits made by multinational companies
• $21 billion in debt payments, often following irresponsible loans
• $35.3 billion in illicit financial flows facilitated by the global network of tax havens
• $23.4 billion in foreign currency reserves given as loans to other...
Tanzania’s government must outline how it will address concerns about democratic inclusivity if it wants to reopen a partnership with the Millennium Challenge Corp., MCC officials told Devex, after the U.S. development agency decided on Monday to suspend a $472 million compact with the country...
Mpaka sasa China imedhamini miradi takribani 62 Tanzania kupitia soft loans na aid hii pamaoja na £1.3b ya pipeline ya gesi Dar-Mtwara. Na mpaka sasa Tanzania ni Nchi ya pili kwa kupata mikopo na misaada kutoka china ambayo si chini ya $5b.
Pesa za MCC si kitu kwa seriakali ya Tanzania. Kwa...
Sidhani kama viongozi wetu wanaangaliaga miaka 50-100-200 mbele. Huwa wanaangalia hapa tuuuuu.
Watu kama wakina Abraham Lincorn (1809-1865), Winston Churchill(1874-1965), George Washington (kuzaliwa 1732-1799 kufariki)n.k ni viongozi wanaokumbukwa mpaka leo kwa mengi, wamejitengenezea legacy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.