Recent content by jerryempire

  1. jerryempire

    Msaada: Huyu ni nyoka wa aina gani?

    Tahadhari ni muhimu kwako kwa kipindi hiki na nyoka uliyemuua hana sumu na hata kama anayo hana sumu ya kutisha. Na uli umtambue nyoka kama anasumu kali ni kutokana na rangi na meno yake kadri nyoka anavyokuwa mweusi au kijivu tiii ndivyo anavyokuwa na sumu kali,so huyo anasumu ndogo au hana...
  2. jerryempire

    INAUZWA Vitu vya ndani vinauzwa bei nafuu

    Lenovo kuna 150k
  3. jerryempire

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Bei 14.7m TOYOTA RUMION YEAR 2008 Cc 1490 Push to start Sport rims KARIBU KWA, Mahitaji ya kuuza gari yako Uhitaji wa kununua gari yako Tunapatikana magomeni Tunafanya kazi siku zote za week tufollow instagram @usiende_japan Tufollow tik tok @ usiende_japan 0659756647 calls/whatsapp @everyone
  4. jerryempire

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Bei 14.8m TOYOTA ALION YEAR 2004 Cc 1790 Sport rims Android tv Gari kali sana Bei mil 14.8 Navunja pia KARIBU KWA, Mahitaji ya kuuza gari yako Uhitaji wa kununua gari yako Tunapatikana magomeni Tunafanya kazi siku zote za week tufollow instagram @usiende_japan Tufollow tik tok @ usiende_japan...
  5. jerryempire

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Bro mkaze vizuri mkeo huu ndo ushauri wangu ukiufanyia kazi utakuja kunishukuru
  6. jerryempire

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Na hapo usipokaza akikuwin tu umekwisha jiandae kuendeshwa maisha yako yote
  7. jerryempire

    Ongezeko la kutisha la ugumba

    So tunahitaji depopulation?
  8. jerryempire

    Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Jana watu wamemfata refa kweny account zake zote za social media baada ya kuona mambo mazito akapiga block zote huwez comment chochote
  9. jerryempire

    Ongezeko la kutisha la ugumba

    Habari, Naomba niende moja kwa moja kwa moja kwenye mada. Zamani ilikuwa wakikutana vijana ambao wako balehe na kushiriki tendo basi asilimia kubwa ni ndani ya miezi kadhaa tu walishapeana mimba. Lakini hali kwa sasa imekuwa tofauti mno kwani ukienda kwenye mahospitali dada zetu wanaotafuta...
  10. jerryempire

    Ukosefu wa hedhi tangu kipindi cha balehe

    Ana umri gani maana isiwe tunatoa ushauri kwa vijana wa miaka 15
  11. jerryempire

    Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Sipendi mtu muongeaji na ukiniongelesha sanaa na ukawa unafosi na mimi niwe nakujibu au niongee sana nakukimbia muda huo huo
  12. jerryempire

    Naomba kujua riba inayochajiwa na NMB Pesa fasta

    Kuna account ambazo ni maalum kwa ajili ya kupewa mikopo ya chap chap kama business na personal account wenye account zile za utegemezi kama mwanachuo account hawapo kwenye hii huduma labda mpaka uende kubadilisha kwenda kwenye personal account kama nlivyofanya mimi mwaka jana. Mpaka now naweza...
  13. jerryempire

    Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

    Always nachezeaga hapa Kadet 7 Tishet 30 Jeans 10 Saa 3 Boxer 10 Shati 10 Singlend 6 Suruali kitambaa 7 Sandles 5 Raba 7 Moka 5 Suti 3 Pafyum na body spray 5 Mafuta/lotion JAcket 3 Hizo ndo aina ya nguo na idadi ya vitu utavyokuta kabatini kwang always
Back
Top Bottom