Recent content by JAY2da4

  1. J

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Ungekua wewe ungefanya hivyo ? Na angefanya hivyo leo asingekua Rais. Nampongeza kwa kutojiuzulu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Ajiuzuru kwa lipi? Hakuna sehemu inayonyesha yeye kahusika na huo ufisadi . Muacheni mama apige kazi, tutam judge kuanzia sasa. Hayo ya nyuma hayamhusu .
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

    Nadhani Mwanakijiji utakua umesahau au hujafanya utafiti wa kutosha, report ya CAG KIchere haina tofauti na report za nyuma za CAG Prof Assad. Prof Assad; alikua analeta report nzito zenye maswali magumu yasiyojibika.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi, tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?

    Kodi itakusanywa kwa wingi kuliko hata ya sasa endapo akili itatumika kuliko nguvu. Ongeza idadi kubwa ya walipa kodi,punguza utiriri wa urasimu katika mamlaka mbalimbali, wawekezaji wataongezeka na utakusanya kodi nyingi kwa kutumia akilia na sio bunduki
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    Nadhani wengi wenye maoni kama yako hamjamuelewa mama,yeye anataka mazingira mazuri ya ukusanyaji wa kodi bila kutumia nguvu nyingi, akili kidogo . Zingatia points zifuatazo ; 1. Hataki mambo ya kubambikiziwa mikodi isiyolipika na kusababisha biashara kufungwa. 2.Hao wafanyabiashara wanaofunga...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vacancies announcement

    Epvate International Consultancy on behalf of it's client Jema Africa seeks Humanurces and Administration Manager , If interested, send your CV to jemaafrica12,gmail.com JEMA AFRICA LIMITED MKUYUNI INDUSTRIAL AREA PLOT No. 25/2 MWANZA TEL:0745694989 Administrative & Office Job Summary...
  7. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    RIP Mh.Gama.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je unafahamu kuwa uchumi wa mji wa New York ni mkubwa kuliko nchi ya Russia.

    Table of Contents Top 10 Richest Cities in the World by GDP – 2017 #10. Shanghai, China — $516.5 Billion #9. Moscow, Russia — $520.1 Billion #8. Chicago, USA — $524.6 Billion #7. Osaka, Japan — $654.8 Billion #6. Paris, France — $669.2 Billion #5. London, England — $731.2 Billion #4...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini mchina anatangaza bidhaa zake kuliko mjapani?

    Japan hajawekeza kabisa katika soko la Africa kwa ujumla. Sana sana kawekeza kidogo Egypt and South Africa. Soko kubwa la mjapani ni US ,Europe na Asia hasa huko China. Ni mapema mno kulinganisha teknolojia ya Japan na China, tunaweza kusema huo ni mzaha wa kitoto kabisa.Mjapani yupo katika...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    hy Do Chinese Billionaires Keep Ending Up in Prison? In most places, being ranked by a prominent magazine among the wealthiest people in the country constitutes a great honor. Not in China. Such lists, known as bai fu bang in China and published in Forbes and its Chinese equivalent Hurun, are...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    One percent of China billionaires jailed for bribery, other crimes:
  12. J

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    Petrobras scandal: Brazil billionaire Andre Esteves arrested 26 November 2015 From the section Business Image copyrightReutersImage captionAndre Esteves was the head of the BTG Pactual investment bankOne of Brazil's richest businessmen and a top senator have been arrested as part of the...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Sefue: Tanzania kurudishiwa dola za kimarekani milioni 6 kutoka Stanbic Tanzania

    https://youtu.be/g6fdndlqCjw
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tunafunga milango ya rushwa ni kufungua milango ya ujambazi

    Kumbuka Serikali inapobana mianya na Rushwa na kukusanya Kodi inavyotakiwa ,hiyo hela hurudi tena kwenye kufanya huduma za jamii kama kujenga barabara,huduma za afya shule nk.Huo ndo mzunguko chanya ambao unakua na impact ya moja kwa moja kwa jamii nzima.Hakuna taifa limeendelea duniani kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    Hata mimi nilitegemea hilo.Ile ni biashara sio ukumbi wa siasa,kutoa clip ya mteja ni kosa kubwa.Lakini kwa vile watu wapo kwenye mihemko wanafikiri kila kitu poa tu.
Back
Top Bottom