Recent content by Profesa wa Maliasili

  1. Profesa wa Maliasili

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji kubadilisha Kioo cha Sumsung Note 8 anayeweza naomba kujua bei ya kioo na kubadilisha tufanye biashara
  2. Profesa wa Maliasili

    Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

    MAMBOMAMBO ilikuwa [emoji91][emoji91][emoji91] balaa kumi kamili jioni hadi kumi na mbili Ikiongozwa na Juma Baragaza. Daah!! Kweli time flies.
  3. Profesa wa Maliasili

    Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

    Daaah!! Enzi kweli zimepita imebidi niingie Youtube nimekuta watangazaji wengi wa Rfa wamevuta aisee na wengi wamehama, Mimi hiki ndio kilikuwa kituo changu cha redio ninachosikiliza kuanzia asubuhi nikiamka 1.Ilikuwa inaanza 12 asubuhi amka na BBC hadi 12:30 asubuhi inafatia Magazetini...
  4. Profesa wa Maliasili

    Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

    Mkuu naomba kuuliza Juma Baragaza na Kamukulu wamefariki lini Daaah!! Kweli dunia tunapita sikuwa na taarifa za Baragaza kuwa amefariki, nina muda kidogo sijasikiliza Redio.
  5. Profesa wa Maliasili

    Naomba kujua NMB Branch inayofanya kazi siku ya Jumapili kwa Dar es Salaam

    Wasalaam Wakuu, Nahitaji Jumapili hii nikabadilishe ATM Card yangu imezingua na nafasi niliyonayo ni Jumapili tu. Je, kuna tawi lolote la NMB inayofunguliwa Jumapili ninayoweza kupatia huduma hii? Natanguliza shukrani.
  6. Profesa wa Maliasili

    MSAADA: Kuhamishwa kituo cha kazi bila kulipwa stahiki zako za Uhamisho,natumia kifungu gani cha sheria kudai stahiki zangu?

    Ndio hicho kipengele nimeambiwa nikitumie kwenye kudraft barua yangu, sasa namna ya kuidraft ndio shida na kuiweka kama madai Nikipata msaada nitashukuru sana
  7. Profesa wa Maliasili

    Wimbo wa Msanii Darasa "I don't care (it's holiday)

    Ngoma kalii sana sijaona kasoro hadi sasa
  8. Profesa wa Maliasili

    P Funk na Seven Mosha wamefanya kamati ya tuzo za TMA kuwa batili. Waondolewe au tuzo zitakosa maana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaah!!! Kweli bongo nyoso
  9. Profesa wa Maliasili

    MSAADA: Kuhamishwa kituo cha kazi bila kulipwa stahiki zako za Uhamisho,natumia kifungu gani cha sheria kudai stahiki zangu?

    Namtafuta mwanasheria au mwenye uelewa anisaidie namna ya kuandika barua hiyo na vifungu gani vya sheria vya kuqoute kwenye barua yangu
  10. Profesa wa Maliasili

    MSAADA: Kuhamishwa kituo cha kazi bila kulipwa stahiki zako za Uhamisho,natumia kifungu gani cha sheria kudai stahiki zangu?

    Nimehamishwa na Mamlaka, Niliwahi kuomba miaka mitano nyuma ila walikataa na kuandikiwa barua kwa kujibiwa kuwa ombi langu limekataliwa hivyo huu wa sasa hivi sikuomba na hata barua haijaqoute barua yangu ya zamani Wameniandikia tu kuwa huu uhamisho ni wa kawaida unaolenga kuboresha utendaji kazi
  11. Profesa wa Maliasili

    MSAADA: Kuhamishwa kituo cha kazi bila kulipwa stahiki zako za Uhamisho,natumia kifungu gani cha sheria kudai stahiki zangu?

    Nina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi. Naomba kama yupo anayejua taratibu za namna ya kuandika barua ya aina hii ya madai au malalamiko kwa muajiri wangu...
  12. Profesa wa Maliasili

    Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Watu wa jf mna ujuaji sana ambao hauna maana
Back
Top Bottom