Recent content by Jackwillpower

  1. Jackwillpower

    Formula 1® Grand Prix special thread

    Lewis Hamilton hayupo Kwenye haya mashindano?
  2. Jackwillpower

    January Makamba: Papa Fransis Amualika Rais Samia Vatican

    Hujui system ya dunia inavyoendeshwa,kila Rais anatakiwa aonane na papa au mwakilishi wa papa/katoliki , Papa ndiye raisi wa Dunia
  3. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Nimezungumzia hawa matapeli kama mwamposa Ndio maana alipoua kule Moshi ,alikimbia na Serikali ikamlinda ,ile kesi iliisha kimyakimya
  4. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Usichojua now days ,Shetan anafanya kazi tofauti na zaman, waganga wakienyeji ndio hao kina mwamposa, Suguye, Bushiri, Geo Devi, na matapeli wengine , now days hawajipaki masizi Bali wanavaa suti, Shetan sio mjinga na mpumbavu, yupo kwenye hii dunia zaidi ya miaka 6000, Masharti ya sangoma...
  5. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Huwez kuwa tapeli mkubwa TZ bila baraka za Serikali Ukitaka kuwa nabii au mtume hapa tz upige hela inabidi ufike serikalini ,ili wakulinde likitokea lakutokea
  6. Jackwillpower

    Leo nimemkumbuka rafiki yangu aliyetumia ujinga wa watu kama mtaji na fursa

    Mwamposa, Suguye, Bushiri,Geo Devi, na manabii wote tz ni matapeli na wezi
  7. Jackwillpower

    Jamani, tuweni makini na wanaojiita manabii

    Kwa mwandiko huu Sasa naelewa kwanini mwamposa, Suguye,muda,geo Devi,na matapeli wengine wanazidi kuwapiga pesa
  8. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Aweke hivo adakwe Kwani mwamposa ni mjinga kiasi hicho Anachofanya mwamposa ,ni utapeli
  9. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Umeshakuwa msukule wa mwamposa Jambo la ajabu, la kuchukiza, imetokea katika nchi hii! Manabii wanatabiri uongo, na makuhani wanatawala kwa msaada wa hao; na watu wangu wanapenda mambo yawe hivyo. Nanyi mtafanya nini mwisho wake?” (Yeremia 5:30-31). “Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa...
  10. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Sio lazima anaitapeli mm , nimeshuhudia akitapeli watu Hakuna maandiko yanasema watu wauziwe maji na mafuta kama yapo yalete Halafu miaka yote ,huyo Mungu wake ana limitations ,kwamba vilema wakuponywa ni wale wenye miguu miwili tu [emoji1787] Wasio na miguu au iliyopinda hawawezi kuponywa...
  11. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Mwamposa ni tapeli wakutupwa Kwanini haponyi vilema wasio na miguu miwili au mmoja
Back
Top Bottom