Recent content by Eng. Zezudu

  1. Eng. Zezudu

    Mimi ni nani?

    Uchawi unao
  2. Eng. Zezudu

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Me nipo najilia single Maza tu hapa, mtamu kama Nini asali eti.
  3. Eng. Zezudu

    Marekani yakubali kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger

    Wazungu wapo Afrika Ili kuhakikisha wanatunyonya na kulididimiza bara la Afrika, hakuna wazungu wanao hitaji Afrika tuendelee wakati bado wanahitaji Mali zetu.
  4. Eng. Zezudu

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Du kumbe vitambi vingine vimejaaa unga, utajiri unasiri nyingi sana, wazee wa kubeti tuendelee kubeti tu
  5. Eng. Zezudu

    Je, ni sahihi mambo haya kufanywa na wanandoa?

    Kuna point inafikia ivyo vyote vinakuwa sahihi, usiwe na Shaka yote hayo ni sahihi ukikua utajua na kufahamu. Kwa akili Yako abinafsi utachagua matusi yakumtukana
  6. Eng. Zezudu

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Hahahahahah iyo kawaida katika kazi sio lazima Kila mtu ana furahia uwasilisani wa taarifa wa mtu mwingine
  7. Eng. Zezudu

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Huyo sio mamba , nyie endeleeni kuoga tu.
  8. Eng. Zezudu

    Msaada wa kutafsiri Ndoto

    Isije ikawa mpira unakupenda mbona mzize alikuwa boda boda ila saiz ni forward wa Utopolo
  9. Eng. Zezudu

    Mbozi: Zahanati ya Kijiji yafungwa kwa kukosa Wahudumu. Wananchi wateseka

    Wahudumu wanadhurula mtaani kusambaza bahasha
  10. Eng. Zezudu

    Kama pesa zinaibwa na mashirika yanaingia hasara kuna haja gani ya kuendelea kuangalia rundo la uzoefu?

    Wanahitaji wazoefu sababu wanafahamu milija ya kupitisha maji bila kuacha alama
  11. Eng. Zezudu

    Naombeni majibu: Mnaosema hawa sio wana wa Israel. Je, waisraeli asilia walienda wapi?

    Mzee wa Israel halisi ni sisi weusi ambao mpaka Leo tupo utumwani.
  12. Eng. Zezudu

    Shambulizi la Sydney mbona media kimya

    Washazoea kuwa wengi wa magaidi ni wavaa kubazi. Kwa hiyo wavaa kubazi wamejijengea wenyewe picha Mbaya
Back
Top Bottom