Anyway pamoja na michango iliyokwishatoleawa, mimi ninavyojua Economics inakuwa na nguvu unapoifanya kama kiambatanishi. inakuondoa kwenye operation kwenda kwenye senior management. kwa mfano unakuwa na degree in - labda statisitcs, law, au B.Com, inapotokea kazi ya ' General' kwenye senior...
tunaomba ukitoa taarifa inayogusa kama hii jaribu kuonyesha details zote kwa mfano ada inayotakiwa kwa semester ni sh ngapi hilo moja, account yako kamili hiyo mbili, una mikakati gani kwa sababu mtu wa form 6 ni mzima huwezi kukosa ka mkakati hata ka kusema nilitaka kuanzisha kitu fulani ila...
mnapenda kudhalau vya kwenu, kitovu cha elimu bora bado kipo mlimani tusijidanganye na zile multiple choice za zain kwenye tv. watanzania hatupendi vilivoy vyetu tunakumbatia vitu vya nje na kwa kuwa tuna pesa za kifisadi tunataka tusomeshe watoto wetu nje ili tujionyeshe kwa vile na hizo hela...
kwa mfano mwanamke akiwa mbele yako ghafla Utamwangalia ila kama ameshakupita ukageuka na kuendelea naye hapo tunasema unamuona ambapo ni zaidi ya kuangalia, na unakuwa kwenye hatari ya kuingia kwenye dhambi ya kutamani
JamanI wana JF, kama kawaida yenu najua nitapata msaada mzuri hapa.
Ombi langu ni kutaka kujua kituo kizuri kwa ajili ya kurudia mitihani ya kidato cha sita masomo ya Art hapa Dar kama private candidate.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
tatizo angalia unavyoandika cv, yawezekana ume-outline sana. jaribu ku-compose paragraphs pia. halafu achana na kuomba kazi ambazo ni routine- accounting, TRA, Bank. kuna kazi kubwa zimejificha hata cpa haifuati. ila kwa macho zinaaanza kwa kuonekana kuwa ziko chini
utakuja kujuta huko mbele ya safari usipokwenda kusoma, kumbuka atomic energy industry is growing day by day na kuna siku itakuja kulipuka na wasomi hakuna. kwanza hapa Tanzania hawana hao wataalamu wa kutosha. kumbuka tuko kwenye mchakato wa kuttumia atomic energy in the future.
angalia Geology...
kwa kuanzia, ni engineers wangapi professional ambao ni wazawa hawajatokana na UDSM, madaktari bingwa, nyie msidhalau hapo mlimani. hakuna kitu huko Tumain and whatever, mnadhani kuandika kiingereza ni jambo la kujifunza chuoni? kwanza hata hapo UDOM more thna 70% ya walimu wao wanatoka au...
huyo jamaa anayeongelea DNA hajui anachoongea. DNA Inaweza kuchakachuliwa pia. kaulize kuhusu HIV viruses. wao wanachakachua RNA kutoka kwa huyo mtu mwenyewe hawatengenezi za kwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.