Recent content by Ipole

 1. I

  Ramani mpya ya Africa

  Mmhh hiyo ni ramani kwelo
 2. I

  MUHIMU: SOMA, SAIDIA, Mtanzania mwenzetu anateseka ............

  Kwa huyu kijana anastahili kusaidiwa kwa hali na mali nawashukuru sana hao ndugu waliochangia Allah awazidishie pamoja na uongozi wa jf kwa kutangaza habari za huyu kijana
 3. I

  Obama bar & guest house - esso ndani ya A- town

  Mambo hadharani
 4. I

  Lema awasha moto Igunga

  Hao akina lema ni wanaharakati maana Kila mbunge ana eneo lake akaongee kwenye jimbo lake aache usanii wakati huu ni wa kuwatumikia Wananchi na sio wakati wa kufanya brabra umekwisha chadema acheni usanii fanyeni kazi.
 5. I

  Tiba ya Dr. Ndodi utapeli mwingine chini ya mwavuli wa Biblia

  Asante sana kwa kutuzindua
 6. I

  Kikwete 'jino kwa jino' na Lowassa

  Kuhama mwenyekiti na katibu ni pigo kwa chama kwa maana hiyo Zito alikuwa anajitetea.
 7. I

  Kikwete 'jino kwa jino' na Lowassa

  Kakwambia nani
 8. I

  AU's dilemna and the Libyan crisis

  Inasikitisha bahati mbaya sana waafrika hatuna umoja mbaya zaidi tumekuwa waoga
 9. I

  Ushauri kwa wanaotaka kuagiza magari japan

  Ushauri wako ni mzuri lakini bado pamoja na kiswangilish chako waeleze watu wajue uwanja mwingine ni upi.
 10. I

  Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

  Kuchukua form anaweza akachukuwa kwa kuwa ni wajibu wa Kila mwanachama lakini urais hawezi kupata.
 11. I

  Chadema yaliza watumishi halmashauri ya jiji mwanza!!

  Mnasema msiyo yajua madiwani hawana uwezo wa kuzuia marupurupu ya watendaji. Kwa kuwa hakuna hata documenty moja inayo sainiwa iwe ni diwani au meyer msizungumze habari za mitaani
 12. I

  Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

  Ni taarifa nzuri maana kwenye ukweli uongo hujitenga.
 13. I

  Kwanini tunakuwa na mapenzi na watu wasiotupenda?

  Michelle, Unapozungumza jizungumzie wewe binafsi maana unayoyazungumza siyo kwamba watu wote yanawakuta.
 14. I

  Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

  Kila mutu ana madhambi ya kikwete mengine na el mengine usiongee kwa kufurahisha jamvi Sasa hapa ujahidina unatoka wapi hapa
 15. I

  Kikwete: Hata Nyerere alishindwa ingawa tunamsifu sana

  We mjaruo usikurupuke na mambo usiyo yajua kipindi cha nyerere watu walipata shida sana walihamishwa kutoka katika vijijisikie vyao na kupelekwa katika maporight na wengine waliwa na wanyama wakali kama simba nk. Hata wakati anashika madaraka mwinyi alikuta wanainchi wanavaa viroba Sasa huo...
Top Bottom