Recent content by Omary - Msamalia

  1. O

    Kuupata UKIMWI ni Ngumu SANA!!!!!

    Always jilinde, but hili upate ukimwi kwa ngono unatakiwa utembee na wanawake 120 wenye ukimwi kati yao ni mmoja tu ndie anaweza kukuambukiza
  2. O

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    https://twitter.com/MOSSADil/status/1731327383272042635 FaizaFoxy hawa wawili ni Bilal na Aisha na Aisha ana hijab kabisa, Israel ilipeleka Askari wake na resources zingine kwa ajili ya kuwaokoa Warabu wenye Uraia wa Israel, sasa tafuta kitu kama hichi kwa hao Wapalestina
  3. O

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    https://twitter.com/AvivaKlompas/status/1731309866424107077 FaizaFoxy Watu wa Gaza simu na Internet za kurekodi Mateka mnazo, ila za kuhama maeneo salama mnazo, no wonder Israel kila siku anawafumua
  4. O

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Iran walisema Truce isipofanikiwa anatimba vitani, any update?
  5. O

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Teargas kama unaamini Dunia ni flat, usicomment kitu tena humu
  6. O

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya wako nyuma miaka 20 kwenye SGR, there is great posibility Uganda will Join us, kama tutaanza operation mapema kabla ya 2025 na uchaguzi ujao wa Kenya
  7. O

    Ukimya alipozaliwa na kuteswa Yesu kule Jerusalem kwazidi kuitambulisha nafasi ya Israel kwa Waislamu na Wakristo duniani

    Kama Waislam wao kwa wao hawapatani, ndio waje kupatana na Wakristo 🤣 🤣 🤣
  8. O

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nimeshangaa jamaa anapost Slum upgrading... Yaani wanajenga Slum juu ya Slum...
  9. O

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    MOI wabadili Jina inanichanganyaga sana na Jina la Moi wa Kenya
  10. O

    Pauline Gekul ajibu tuhuma za kumdhuru na kumdhalilisha kijana

    Hakuna mwanasiasa mtakatifu, ukiambiwa kuwa Tundu Lissu amewahi kuua huwezi amini
  11. O

    Isreal yakiuka makubaliano ya kusitisha vita

    https://twitter.com/MarioNawfal/status/1728478065708130768 FaizaFoxy
  12. O

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hamas walisema hakuna Handaki
  13. O

    Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

    Kuna siku niliacha kuwatilia maanani waislam, muislam mmoja aliposema Bunduki zitakuja kugeuka fimbo ndio maana wao wanajifunza Bunduki, hili waje waitawale dunia
  14. O

    Wahenga je hawa ni walimu wako?

    Mimi nimeona warembo sana
  15. O

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    https://en.wikipedia.org/wiki/Mosab_Hassan_Yousef Mosab Hassan Yousef who worked undercover for Israel's internal security service from 1997 to 2007. FaizaFoxy huyu mwamba alikuwa kwenye uongozi wa Hamas akawa anatoa siri, imagine waliopo leo
Back
Top Bottom