Recent content by Innocent Kirumbuyo

  1. Innocent Kirumbuyo

    Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

    Aliingia na kajala akajiita Robert
  2. Innocent Kirumbuyo

    Wanachofanyiwa wamasai siyo sawa

    Zanzibar ndio nini koloni letu ilo
  3. Innocent Kirumbuyo

    Wanachofanyiwa wamasai siyo sawa

    Juzi niliona video wamasai wakizozana na watu wanaosemekana ni polisi huko Zanzibar mwisho wa siku ilitokea kutokuelewana wakaanza kushambuliana Baada ya ile video viongozi wakachukuwa hatua Hapo ndio inadhiirisha tunaongoza na viongoz wenye akili ndogo na mihemko mingi wakurupukaji...
  4. Innocent Kirumbuyo

    Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

    Hapa tabata bima mvua inapiga siyo ya mchezo
  5. Innocent Kirumbuyo

    Nahitaji ushauri nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani?

    Tafuta eneo zuri kwa biashara ya viatu vya kike na kiume Kisha safiri hadi mwanza mtaa ya Lumumba kuna maduka mengi ya jumla ya viatu ya kike na kiume na wanauza kwa bei ndogo sana fika pale chagua viatu vizuri nenda zako shinyanga kapige kazi ukichukuwa mzigo wa laki 3 mkubwa kabisa
  6. Innocent Kirumbuyo

    Tahadhari: Harmo usije logwa kulazimisha game kwa Posh

    Mwanangu demu mnywa safari kuna cha kulazimisha hapo utakuwa umelogwa
  7. Innocent Kirumbuyo

    Polisi: Vijana wawili waliouawa Vingunguti, Dar ni Panyaroad

    Usiku mzito wako na mapanga utaka polisi wawachekee polisi awawezi kukuuwa tu bila sababu lazima wanajua
  8. Innocent Kirumbuyo

    TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

    Alikuwa anamadini kwenye mambo ya siasa apumzike kwa amani
  9. Innocent Kirumbuyo

    CRDB account haisomi

    Nawaza kwenda kufungua akauti crdb nikiona Aya malalamiko naachana nayo kabisa
Back
Top Bottom