Recent content by ikisimama panda

  1. I

    Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Unajua Israel walishambulia ubalozi wa Iran Damascus ili Iran ajibu waingie kwenye vita washambulie vituo vyake vya nyuklia. Sasa unajua program ya nyuklia ya Iran haijafikia level ya kutengeneza bomu la nyuklia kwaiyo wakileta ujuaji watapigwa na progress yote waliyoifikia kwa miaka mingi na...
  2. I

    Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

    What's good for the goose is good for the gander. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  3. I

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Niliacha kushabikia mpira siku VAR imeanzishwa kwasababu ilikua rasmi inaubadilisha mpira kutoka kua mchezo na kua video game. Lile lingekua goli bora la mashindano bila ubishi. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  4. I

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Ubaya hauhalalishwi kwa ubaya. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  5. I

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    maku wee Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  6. I

    Niger yasitisha rasmi ushirikiano wake na Marekani

    With immediate effect ndo umetafsiri kama athari za haraka? Duh! Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  7. I

    Mambo aliyoyafanya Hayati Magufuli ambayo yatabaki kama alama ya kukumbukwa milele

    So touching. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  8. I

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Namsaidia tena kuuliza; Damu ya nani ilimwagwa kwenye uchaguzi wa 2020? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  9. I

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Mbona jamaa ameuliza swali jepesi sana! Namsaidia kuuliza tena, nani alimwaga damu kwenye uchaguzi wa 2020? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  10. I

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Kwahiyo unachokisema ni kuwa hatukua sahihi kumpinga Madaraka kwenye ishu ya sanamu kwakua tu Mwalimu alikua baba yake na sio baba yetu? Sijui historia ya mzee Mwinyi lakini kama kweli mababu zake wamelala Mkuranga, daaah naona kabisa wanaosema amezikwa Zanzibar kisiasa kama wana hoja vile...
  11. I

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Nilitaka nikutie bonge la tusi ila nilivojua we ni mwalimu nimeona nitakua tu natupa tusi langu bure Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  12. I

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    maku ya kikongwe. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  13. I

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Lakini sometimes ni raha sana kumuangusha mwanaume mwenzio kwa ngumi moja tu, tena jamaa kaangukia kichogo. Na aliepigwa no wonder ni fundi sana wa kumpiga mke wake! Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  14. I

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sky News: "The only evacuation route from besieged city 'completely shut' by Russians" Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  15. I

    DOKEZO Afisa utumishi, PSSF wachezea mfumo na kumstaafisha mtumishi kabla ya muda, alilipwa Milioni 72, akapokea Milioni 2 tu

    Una maswali ya kitoto sana aisee halafu unayarudia rudia. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom