Recent content by Iga

  1. I

    Wenye uchungu na nchi...

    Rejoinder: Nafasi za juu jama, zataka fikra na hadhi, Wengine katika vyama, viwango bado hamkidhi, Na kunena si hekima, hekima kitu waachi, Wachache wanaosema, yawe bora si upuuuzi!!
  2. I

    Wenye uchungu na nchi...

    KWA wote wenye uchungu, nenda mkajifungue, Mbunge katupa uvungu, hili tukalitambue, Wao hawana uchungu, acheni watu waliwe, Wenye uchungu na nchi, tokeni mjifungue ! Wagoma madaktari, nendeni kujifungua, Uchugnu ukishamiri, hio mnashautiwa, Angalia yaso kheri, kwao mnaowachagua, Wenye...
  3. I

    Serikali haistahili kuwepo Dar, iuze majengo ikamalizie Dodoma

    NAIPONGEZA serikali ya chama cha mapinduzi (CCM) kwa kuizawadia hoteli ya Kempinsky zawadi ya eneo la mahakama. Ninaamini serikali yetu ipo kwenye mji usiostahili kuwepo, na kutokana na hili utendaji wa watendaji wake unakuwa wakibabaishaji (kiasi cha kushindwa hata kuandika vizuri bajeti ya...
  4. I

    Bunge: Sasa 'soap-opera' kubwa nchini

    YALE yanayooneshwa katika TBC yamefanikiwa kukifanya kipindi laivu cha bunge kuwa 'soap-opera' bora nchini. Hivi sasa, hasa, kukiwa na hoja moto inayompa spika ujeuri na jazba na hali kadhalika 'young turks' wa opposition-Zitto Kabwe na Tundu Lissu bila kumsahau Mh. Kafulila. Baadhi ya watu...
  5. I

    4 baraza la katiba mpya tanzania 2011

    BAADHI ya Watanzania wanaamini kuwa serikali na uongozi uliopo nchini hivi sasa utaitendea haki katiba mpya na kuwatendea haki wananchi wa nchi hii kwa kukubali kuwepo kwa Baraza la Katiba Mpya Tanzania 2011 au Mkutano Mkuu wa Katiba Mpya Tanzania 2011. Je, wewe mkulima unayehamasishwa hapa...
  6. I

    CCM na CHADEMA sasa turudi kujadili solutions za issues muhimu kwa taifa letu!

    William Malecela ninakubalina na wewe mia kwa mia. Migogoro sio tatizo. Tatizo ni watu wanaojifanya tu machinoo. Hawashauriki. Hawawezi kufanya kazi na upinzani. Eti wapinzani paka nyau na matusi mengine ndiyo hoja zao. Badala ya kusema sisi sote ni Watanzania na dawa ya umaskini, ujinga na...
  7. I

    Hatma ya Katiba Mpya: Kikwete na Karata ya Kisiasa Kuangamiza Taifa 2011

    KWA makusudi ya toleo hili la waraka huu tunapenda kuweka msisitizo kwamba kutokana na ukweli kuwa wanawake ndio wanaoteseka zaidi ya wanaume nchi hii iwe ni katika kilimo, kuchota maji, kubeba mizigo, usafiri na uchukuzi, malezi ya watoto, tiba na afya, masomo na kazi ni lazima wanawake...
  8. I

    Hatma ya Katiba Mpya: Kikwete na Karata ya Kisiasa Kuangamiza Taifa 2011

    East African Law Society inajikomba kwa Serikali ili ipate tu kiwanja cha kujenga au inajikomba zaidi ya hivyo. Na kwanini iwe ni baada ya UDASA kuendesha kongamano la katiba mpya juzi?
  9. I

    Imetokea loliondo

    LOLIONDO NI UWANJA WA VITA, MAJESHI YETU YAKO WAPI ? NINAMUUNGA mkono kabisa yule mwandishi wa Mwananchi aliyethubutu kusema kwamba ajabu ya nchi hii ni kuwa viongozi wetu ni wepesi kutuma majeshi au polisi au FFU kwenda kuzima maandamano ya wapinzani kuliko kutuma majeshi hayo kwenda...
  10. I

    Wanasiasa wafika lakini simu za mkononi zakwama kutinga loliondo

    NA KELELE zao zote za kufika Usambaani na Unyakyusani kwanza Wamiliki wa Makampuni ya simu za mkononi hawajawa na ubavu wa kufika Samunge, Sale, Loliondo. Pengine wanaona Wamasai baada ya kukosa Waziri Mkuu hawana maana tena au wanafikiri kwa makosa kuwa biashara ya babu ni ya muda...
  11. I

    CCM ijibu hoja za CHADEMA - Sumaye

    Hivi kweli kuna tofauti kati ya Serikali+CCM+Vyombo vya Dola= Chama Dola. Kisha nani akashtaki wapi. Msituletee yale ya Swala kushtakiwa kwa kina Simba, Chui na Fisi! Nimeisoma taarifa inayomnukuu Waziri Mkuu wa zamani, Mh. F. Sumaye ninaamini ni maelezo mazuri ambayo badala ya kwenda...
  12. I

    Mabaa Ovyoovyo: Serikali Inavyokera Wananchi wa Tabata Shue

    KATIKA kipindi kifupi tu cha sehemu ya pili ya mwaka 2010 eneo la Tabata Shule 'limezawadiwa' kwa hisani ya chama tawala na serikali yake baa zaidi ya 10. Na baa zote hizi hivi leo zinakuwa ni kero kubwa kwa Wananchi ambao si washiriki wa mambo ya kilevi na umalaya unaoendeshwa waziwazi katika...
  13. I

    Idara ya Ustawi wa Jamii ipo ipo tu ?

    Katika idara ambazo hazibahatiki kuwa na watu wanaozifuatilia na kudhibiti utendaji wake hapa nchini ni idara muhimu zaidi kwa watu masikini, wanyonge na dhaifu katika jamii kuliko zote-Idara ya Ustawi wa Jamii ! Si viongozi wala wanasiasa wa upande wowote wanaonesha kuwa eneo hili lina maslahi...
  14. I

    Elections 2010 Kuelekea uchaguzi mkuu.... SAUT FM yafungiwa....!

    Eti kuna ukweli wowote kuhusu habari kwamba kuna wachapishaji wanaochapisha karatasi za kupigia kura ambazo zimeandaliwa kwa namna ambayo zenyewe humchangua yule ambaye wachapishaji karatasi hizo wameambiwa zimchangue? Na kwamba ukimpigia mgombea unayemtaka bado karatasi hiyo ina uwezo wa...
  15. I

    TRL, TAZARA, Uchina na Uendeshaji Treni

    SIJUI kama wakuu na Wanasiasa wa Tanzania wakiwemo Kikwete, Lipumba, Slaa na wengineo wana habari kwamba China imekwishatengeneza Treni iendayo kasi kama zile za Japani na Ufaransa. Na hivi ninavyoandika haya tayari Wachina wamewapiga chini Wajapani na kuikamata tenda ya kujenga treni iendayo...
Back
Top Bottom