Mkuu linganisha Zimbambwe na Irani kiuchumi na teknolojia
Linganisha umri wa vikwazo baina ya nchi hizo mbili
Mwisho Lengo ni utofauti wa kimaendeleo na teknolojia kwa Irani huku ni muda mrefu inavikwazo
Endelea mkuu kututoa tongotongo bwana
Nafkili uje uhitimishe kwa nini nchi ambazo hazina vikwazo hawaifikii Iran kwa uchumi na teknolojia hususani bara giza
Watawala wanafahamu ni kipi haswa idadi kubwa ya wadaganyika hupenda kusikia toka kwa watawala wao
Kwa kupenda kujadili matukio
Nafkili kipaumbele kwa sasa itakuwa Makonda kutumbuliwa uenezi na kuwa mkuu wa mkoa Arusha
Kwa mbali ulisahau ya Simba na Yanga na menyewe yananafasi kubwa saana...
Hapa ndipo kulipo kiini cha tatizo
Kwa kuwa ni fisi anamla fisi mwenzake haina shida kabisa
Kama taifa tuache kuwa tunakaa kimya na kushabikia pindi atokeapo raia anakuwa anawasemea wale ambao hawana sauti
Kwa hiyo mkuu hutaki watanzania wenzako wapate ajira ?
Au kunasehemu utawapeleka wakafanye kazi na wajipatie ujira na mshahara ?
Shida sio wafanyakazi bali ni mifumo
Jiulize kwa nini kipindi cha JPM watumishi wa umma kama sio wote walikuwa angalau wanatimiza wajibu wao , na alipofarika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.