• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Icadon
Reaction score
61

Profile posts Latest activity Postings About

 • Icadon
  Mkuu EPL msimu huu ngumu sana naona na CL nayo ina surprises za ajabu ajabu...Ila miezi miwili hii inayokuja iratupa clear picture nani atakuwa wapi mwisho wa msimu utakapowadia.
  Ab-Titchaz
  Hebu fikiria kwanza tutoboe Cluj kisha baada ya hapo kuna kisiki cha Inter...hapa ndo unajiuliza when are we goiing to catch a break?Mimi nilidhani this is our year lakini mambo si mambo this far.
  Kuntakinte
  Haina noma Mkuu, naisubiria sanaaaaaaaaaa. "Man utd Kisima cha Burudani" Penda Man utd Unenepe. Poa Mkuu tupo pamoja
  Kuntakinte
  Mkubwa salama lakini, Nimepita kusabahi. Man Utd oyeeeeeeee
  Icadon
  Duh manda, PM ilikuwa imejaa..si unajua hapa nakuja kwa kunyata siku hizi...
  Ab-Tichaz lol...ile kitu waungwana hawajaiona nadhani.
  Manda
  Mkuu nakutumia PM inasumbua kuja, any idea ni nini tatizo?, when it settles then i hope i can PM you ASAP zile vitu.Thanx!
  Ab-Titchaz
  Mkuu ile picha ya JK akiwa Global Initiative imeniacha hoi na kicheko aiseee.Wewe mkalia aisee!!!
  Icadon
  Ha ha kazi yake si ameshamaliza kaleta makombe mwache aende kwingine....akikaa sana tunaweza kupata hasara bure...wacha wamwage kitita tutatumia kumnunulia Berbatov wakati tunawakuza Nani na Anderson..
  Rev. Kishoka
  Kwetu jua kali, nishakua mweusi tiiiii! Kijana naona anamkimbia Fegi na kwenda Real au Barca, sasa pengo mtalizibaje?
  Rev. Kishoka
  Kaka Salama? Mbona kimya hivyo?
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top