Recent content by Ibra Mo

  1. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii biashara ngumu sana mie nilikuwa namkeka wangu wa muda mrefu lliverpool na malaga tu ndo wamechana.
  2. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    weekend nataka niiwekee mzigo kwa team 2 za league || France afu nachukua na za uholanzi mbili zitoe1+ first half afu namalizia option ya 2+ kwa team 2za ubelgiji.
  3. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hii option ya under halftime ni safe sana nimejaribu kuifuatilia inatoa sana hasa kwa league ambazo hawafungani sana.
  4. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba ufafanuzi juu ya hizi under za halftime mkeka bet magoli yake yamekaaje kwenye hiyo 0.5 na 1.5.
  5. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    game za south America ni maarufu sana kwakutoa under.
  6. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON 2017: Chad vs Tanzania

    kwanini saa 12 na game imeanza tayari
  7. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mie timu zangu ambazo huwa nimezipa guarantee ya 2+ ni burnley,shrewbury,barsley na morecambe haijalishi anakutana na nn ila kwa asilimia 85 goal hizo hutimia.
  8. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    meridian kwa sasa wapo vizuri sana
  9. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    shrewbury win,liverpool win,barsley droo.
  10. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

    Fanya check up kwanza kama upo fresh coz huwezi Jua kama jamaa ni mzima baada ya hapo naweza toa ushauri wangu ...pole sana.
  11. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    chukueni hii pesa mpe middle, stoke,west ham na Monaco.
  12. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    inter,Valencia,napoli zote win.
  13. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kwakweli unaboa waturudishie. muonekano Wa zamani
  14. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha kudanganya watu ww game fixing hairuhusiwi kwa wanaofuatilia mpira watakumbuka ishu ya juventus ilivyashushwa daraja kisa kupanga matokeo afu we kirahisi rahisi tu uje utuambie game fixing tena hadharani ivi c wangekamatwa wote....jamani msidanganyike mtalia nakusaga meno huyu ni tapeli...
  15. Ibra Mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mie bado sana aiseh kwenye kuuziwa odds haitatokea naona baadhi ya wadau wa humu wanaelekea kushawishika.
Back
Top Bottom