Recent content by hydroxo

  1. hydroxo

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Wanasajili kwa kutumia youtube videos. Huyo Babacar Sarr wa youtube hata De jong au Sergio Busquets hawaoni ndani. Njoo kwa huyo Pa Omar Jobe sasa ukitazama skills zake youtube hata prime Lewandolski haoni ndani! Hapo makolo wanaingia kichwakichwa wanasajili.
  2. hydroxo

    Jana tumewasiri sana watani(simba).

    Mimi ni kolo lakini watani jana mmetustiri sana. Asanteni kwa uungwana maana mngeamua kuwa serious leo Mangungu angekuwa kashapigwa bakora.
  3. hydroxo

    Baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni haya yafuatayo

    Huko hotelini utaondoka na yale matunguri uliyopewa na mganga wenu au utayaacha kwa hasira za kufungwa?
  4. hydroxo

    Aziz Ki ameahidi kumzawadia goli Anthony Mavunde katika derby ya Simba na Yanga tarehe 20.

    Huna baya master Ki. Umetimiza ulichoahidi
  5. hydroxo

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hii game tupambane tushinde. Hawa PSG wameshaelekea kibla.
  6. hydroxo

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Yatangaza Viingilio kuelekea Kariakoo Derby

    Mimi ni kolozdadi. Kuna hati hati siku ya mechi nisitokee kuepuka aibu.
  7. hydroxo

    Bodaboda wanapataje leseni maana ajali kwao fasta

    Bodaboda na leseni wapi na wapi. Hao kwenye pikipiki wanachojua ni kuweka na kutoa gia tu. Nothing less nothing more.
  8. hydroxo

    Dini na Staha vs Ushenzi!

    Mods futeni hii takataka.
  9. hydroxo

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Tatizo sio kukutana na Madrid final. Tatizo huyo Madrid atatoboa Etihad. Nafkiri uliona alivyopelekewa moto na akafosi sare bernabeu Ana kazi kubwa sana muhispania mwenzetu ya kumzuia Pep.
  10. hydroxo

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hey cules. Game ya jana tumempiga PSG akiwa home. Mechi ijayo tukikaza tukawatoa kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na vijana wa El Cholo (ATM) nusu fainali. Watu wengi hawatupi nafasi kutokana na changamoto tunazopitia na form yetu kutokuwa na consistency Ikitokea tunacheza nusu fainali na...
  11. hydroxo

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    FT PSG 2 BARCA 3
  12. hydroxo

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Chuma cha tatu Christensen.
  13. hydroxo

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Kabisa. Acha tukaze tupate matokeo.
Back
Top Bottom