Recent content by Humble Servant

  1. H

    Maombolezo ya Kawawa na Rais Mpirani

    Wakuu naomba kuuliza, hivi kama ingekuwa ni kipindi cha msiba wa mzee Nyerere kuna mtu angethubutu kwenda uwanjani????achilia mbali raisi wa nchi au kiongozi mwingine wa serikali!!
  2. H

    Dowans: Another Richmond in making?

    waveche sana baba/mama...............aika mbe.........aika meku.........well done....nina hakika brother zitto ame print hii kitu na anaisoma kwa utulivu then kesho atameza matapishi yake kwa kisingizio cha kupotoshwa..........THIS IS TANZANIA.........teh,teh,teh......
  3. H

    Dkt. Mathayo na Ana Kilango: Same "Wachina" wa Tanzania mpaka "VILAZA" wa Kilimanjaro

    Wapare na wa aminia, toka enzi za ukoloni historia inaonyesha ni wafuatiliaji wazuri wa haki, hata ikibidi kuuza mbuzi kwa kesi ya kuku ili mradi haki ipatikane...........!!!!!!!!!!! ila Mkuu umejaribu kuwauliza wabunge kama walisha wahi kufuatilia juu ya matatizo hayo???? kama bado ni halali...
  4. H

    Habari kuu ya mwaka 2008

    Mkuu mwanakijiji! kazi nzuri, lakini ningeshauri uitoe kabisa habari ya mengi na masha. ni habari ndongo sana na ilizungumziwa kidogo ukilinganisha na habari nyingine kama za uchaguzi tarime etc
  5. H

    Washitakiwa wa EPA ni WATU waaina gani haswa...?

    kaka, taratibu mambo yata anikwa hadharami na wanaojificha kwa stail ya mbuni kuzita kichwa wataumbuka, ndo maana tunataka tuwajue watu hawa ili kuweza kuunganisha moja na mbili kujua walioko nyuma yao, maana nasikia wengine ni vijana wadogo tu wasio naelimu wala ujuzi sasa ndo tunataka kujua...
  6. H

    Elections 2010 CCM kubadili sheria ya uchaguzi 2010 kujinufaisha?

    Kaka, usiwashangae CCM,hawa watu wameshafanya mengi kuua upinzani!!!this time badala ya kuwashangaa, inabidi kuwakemea na kuipinga kwa nguvu kazi hii ya kishetani!!!!!nyie ndo wabunge mpo wachache lakini mkisema hopefully jamii itatuelewa
  7. H

    Washitakiwa wa EPA ni WATU waaina gani haswa...?

    Mod na wana JF, natanguliza kuomba msamaha kwa kuanzaisha thread mpya though related to EPA, nina hamu sana ya kutaka kuwafahamu zaidi ya majina watuhumiwa wa sakata hili!!!!naomba yeyote anaejua chochote juu ya hawa watuhumiwa anisaidie ni weze kuwajua watu hawa in brief 1.Jeetu Patel na...
  8. H

    Sekta binafsi iunge mkono upinzani waziwazi?

    nikweli kabisa kaka, kwanza makampuni yenyewe yanamilikiwa(infull or partial) na viongozi wa CCM!!!katika hali hii huwezi kutegemea wasaidie upinzani. jiulize hivi kweli CASPIAN au TICTS au PRECISION za RA,Kara na Mramba au TANPOWER ya YONA na Mkapa zitasaidia upinzani kwa faida gani?? AU...
  9. H

    Elections 2010 CCM kubadili sheria ya uchaguzi 2010 kujinufaisha?

    huo ndio mwanzo wa mwisho wao.Yani mizigo yote hii wanayo bebesha wananchi bado tu hawashtuki?? waache waendelee kutuchosha ili tupate hasira za kutosha kuwa kataa milele....
  10. H

    Sekta binafsi iunge mkono upinzani waziwazi?

    kwenye nchi ambayo chama kinatukuzwa kuliko TAIFA!!!!mambo haya sio ajabu. tumeaminishwa kuwa kuipinga CCM ni kuipinga TANZANIA!!na hili linasimamiwa na dola kwa nguvu zote sasa what do you expect? hata hoa wapinzani wenyewe wanaonekana WAASi, makampuni yanaogopa........na huo ndo ukweli huwezi...
  11. H

    Caught on Tape: Mkakati wa Mamluki wafichuliwa!

    duh!I CANT BELIVE THIS!!!!!!!!!KWELI NCHI YA MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE IMEFIKA HAPA???
  12. H

    Rais Mteule Barack H. Obama!

    Mkuu, You have said it ALL and WELL! zaidi ya rangi yake Obama ameonyesha uwezo Mkubwa wa kuwa kiongozi!!!!!!!!! viva Obama VIVA africans!!!!tunashukuru kwa kutoa inferiority ya kuwa Watu weusi hatu wezi!!! Next time Mungu akipenda HATA PAPA ATAKUWA MTU MWEUSI!!!!
  13. H

    Ombi maalumu kwa Mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema

    Dada, naona ingekuwa vema ungemshauri MZEE wetu Mrema na Kipenzi cha WALALAHOI wa TZ, akapumzike nikweli amefanya mengi lakini ni kweli pia kwa sasa AMEJICHOKEA kiafya na kisiasa pia. Mzee Mrema mapumziko mema, tutakukumbuka sana kwa ushujaa wako na tumekusamehe makosa yako.
  14. H

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    nashukuru sana kaka, sasa naweza kwenda kupumzika nikisubiri details zaidi kesho, hope full upinzani umeshinda na CCM imeanza kupata somo....usiku mwema
  15. H

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    bora hivyo kaka.........kibongobongo huwa hatujali muda sana alwayz kutakuwa na excuse ya kusema tuongeze muda.....na unaweza kusubiri hadi hiyo asubuhi
Back
Top Bottom