Recent content by High Vampire

  1. High Vampire

    Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    Maafisa usafirishaji wanachoma tena au kwa kuwa Wana pkpk
  2. High Vampire

    Hatimaye Boss kaoa

    Mwanamme anaoa tabia na sio sura
  3. High Vampire

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Ingekuwa Jf Kuna sehemu wanaweka kiwango Cha elimu ili unapojenga hoja tujue ni mtu wa namna Gani Ilikuwa rahisi mtu kujua kama wazazi walipeleka ngombe Shuleni au walipeleka mtu kusoma
  4. High Vampire

    Matumizi ya AI kujibu maswali vyuoni ni kudumaza akili

    https://quillbot.com/ai-content-detector
  5. High Vampire

    Je, inaruhusiwa kwa mtu kufanya masomo ya Kozi mbili tofauti kwa wakati mmoja kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili?

    Kwamba uko mzumbe unasoma masters full time huku koziwork unatakiwa kupresent kule udsm kesho yake Kuna seminar room unatakiwa Muuliza swali ameuliza swali arudi kwanza ajitafakari
  6. High Vampire

    Masters degree university of Dar es salaam

    Mauza uza yataanza kwenye proposal tu
  7. High Vampire

    Masters degree university of Dar es salaam

    Ndio chuo Gani hicho? Kuna vyuo ukijichanganya tu unaweza kusoma miaka kumi humalizi
  8. High Vampire

    Phone4Sale Nauza iPhone 14 Pro Max GB 256

    Ukiwa maskini utakuwa unaona kila kitu ni Sawa tu Fanya kazi kwa bidii uweze kutofautisha vitu
  9. High Vampire

    MS-TCDC Arusha

    Mpaka Leo wanatoa Hadi masters ukiacha bachelor
  10. High Vampire

    Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

    Ana hasira na wenye degree [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. High Vampire

    Kwanini chuo cha ESAMI kina ada kubwa sana?

    Sidhani Kama ni kweli wana ada kubwa kwa tanzania vyuo vya ada kubwa kwa social science ni hivi Nelson mandela arusha Esami Vinafata kozi za afya kwa level ya masters na PhD
Back
Top Bottom