Recent content by KusiniKuchele

  1. KusiniKuchele

    Akiwa kwenye hali/ muonekano upi huwezi toka naye kimapenzi?

    bila kusahau raba kama za diamond na soksi kazivuta juu kavalia pensi, Kanyoa nywele kama dancers awe amevaa na kamkoba hapanaaaaaa kwakweli alambe na lips tatizo kubwa sana
  2. KusiniKuchele

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Nimecheka kwa nguvu jamani ndugu Maharage anakomeshwa nyie 😃😃 Kama nawaona watumishi wa TANESCO wanavogonga glass😀😀😀😀
  3. KusiniKuchele

    Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Samia ni wa kwetu tunaenda nae. CCM ni kubwa zaidi ya mtu. 2030 mtoa mada anzisha ramli hizi but 2025 bado tupo na huyo “Mwanamke” wa Shoka.
  4. KusiniKuchele

    Ukiwa kwenye mahusiano na Single Mother anaejitambua hata kama hutamuoa yeye hakika utapenda uoe uwe na mke

    Una busara sana Mwenyezi Mungu amekujalia. Mimi ni single mama but mume wangu alifariki kwa ajali ya gari baada ya kugonga lori. Aliniacha na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi 3 na sasa amekua namshukuru Mungu. So wanaume wanaowakejeli single mamas nashindwa kuelewa kama wana ubinadamu na utu...
  5. KusiniKuchele

    Ukiwa kwenye mahusiano na Single Mother anaejitambua hata kama hutamuoa yeye hakika utapenda uoe uwe na mke

    Una busara sana Mwenyezi Mungu amekujalia. Mimi ni single mama but mume wangu alifariki kwa ajali ya gari baada ya kugonga lori. Aliniacha na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi 3 na sasa amekua namshukuru Mungu. So wanaume wanaowakejeli single mamas nashindwa kuelewa kama wana ubinadamu na utu...
  6. KusiniKuchele

    Nahisi kupigwa mtoto, naomba kujua utaratibu wa DNA

    Alishajisemea Kabudi wanaume wengi ni social fathers. Sasa na wewe nakushauri usitake kuchimba sana maana inawezekana hata baba yako sio biological father kwako. Na kwani lazima mtoto afanane na wewe au mama yake? Waje wanasayansi wataalam wa genetics watusaidie kwa hili
  7. KusiniKuchele

    Kilimo cha mahindi hekari 10

    Kuna mchongo au sio😅😅
  8. KusiniKuchele

    Serikali iweke ofisi za Mkuu wa Wilaya pembeni ya Mji Mkongwe wa Mikindani, Mtwara

    Paendelee kubaki kwaajili ya utalii na sio utawala. Dhana ya mji mkongwe ni pamoja na hizo nyumba za udongo zilizopo
  9. KusiniKuchele

    Kilimo cha mahindi hekari 10

    Yes sababu mahindi sio heavy feeder crop compared to sesame. Mbolea haina impact kubwa sana lakini fahamu afya ya udongo kwanza kwa kuchukua sampuli ya eneo lako na kupelekea Maabara ya udongo iliyo karibu na wewe either Dodoma ama TARI ya Tanga wana Labaratory, au SUA. Chili’s sample randomly...
  10. KusiniKuchele

    Kilimo cha mahindi hekari 10

    Habari? Hongera kwa kuchagua Kilimanjaro ambacho ni ajira ya Watanzania almost 80%. Kwa uzoefu wa Kilimo cha mahindi kwetu Manyara ni Kama ifuatavyo: -Kukodi ekari Tshs 100,000/= hadi 120,000/= -Trektra awamu mbili @ 60,000/= -Mbegu nunua maduka ya pembejeo wameainisha kwenye vile vifuko rate ya...
  11. KusiniKuchele

    Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

    acheni Trump atutukane tu Waafrika Akili ndogo
  12. KusiniKuchele

    Nataka kuanza kununua dada poa ili kuiponya nafsi yangu

    Pole usikate tamaa Muombe Mungu akupe wa kufafana nae
  13. KusiniKuchele

    Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

    Unaonekana wewe ni mtafiti wa mchongo. Sisi Scientists hatunaga muda wa umbea, ni matokeo tu kusaidia jamii na taifa. Sijui unapata wapi muda wa majungu badala ata ya kupiga shule umekalia umbea. Tafiti zako zitakua za kimbeambea pia.Probably wewe ni mfanyakazi wa TARI mzembe sana huezani na...
Back
Top Bottom