Recent content by Hhjkkk

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Raia mbon mpo kimya
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Asante kk kwa wale waliofanya interview kuna ambao wameitwa kuanza kazi au mchakato bdo
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Yah leo nimepigiwa nilipata 70 kk
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Hatimae leo nimeambiwa niende interview ya oral lake zone mwanza wale wa lake zone tulioitwa interview ya tar 18 tujuzane
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ok sawa hawa nmb mwaka huu hawaeleweki kabisa wapo kimya no email no simu kupigiwa sasa tuelew vp
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Kuna watu wameitwa interview NMB kanda ya ziwa tuambiane
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Uwa wanautaratibu wakutumia watu walioshindwa email ila km ulipass utapigiwa simu ni suala kusubiri km ujatumiw email
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Asubiri ikiwa hajatumiw email basi kuna awamu ataitwa
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ok sawa ila kuna mshikaji wng kapigiwa simu na alipata 55 so tusubiri
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    NI mda sasa tunasibiri interview ya oral
Back
Top Bottom