Recent content by Zero Hours

  1. Zero Hours

    Wapi wanatoa kozi ya udereva wa malori kama scania, volvo n.k?

    Canada inauhitaji mkubwa wa madereva. Mshahara $20 nakuendelea kwa saa
  2. Zero Hours

    Mwalimu Mishael Muze alikataa uteuzi wa Rais ili aendelee na kazi ya Ualimu

    Kuna age mtu inafika unafanya kazi for passion not prestiage or financial benefit.
  3. Zero Hours

    Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

    Unaenda kuuza madawa ya kulevya? Kwani hakuna visa za touring.
  4. Zero Hours

    Hii nchi ilikuwa inaweza kwenda zake tu, angalia soko la Bilioni 1 na nyumba ya Milioni 350

    Unayemzungumzia angekuwa hai wakati huu aliyepost iyo picha angepotezwa alafu wangekuja baadaye kukanusha
  5. Zero Hours

    Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

    Utakuwa na kibanda umiza uneamua kutema nyongo baada ya kusikia tamko
  6. Zero Hours

    BAJAJI ya kwanza kutengenezwa na Mtanzania "imekosa kibali'

    Hivi unajua uvumbuzi ni nini? Hapa hakuna uvumbuzi ni assembling tu. Unafikiri hizi bajaji hazipo?
  7. Zero Hours

    Rais Magufuli Anaishi Maisha Halisi ya Mtanzania

    Nakusalimia kwa jina la jamuhuri ya muungano
  8. Zero Hours

    Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    Dah..mama anapiga kazi. Yani hata hapumziki.
  9. Zero Hours

    Hakuna mama mkwe anaempenda mkwe wake 100%

    Mama yangu anampenda mke wangu kuliko hata mimi.
  10. Zero Hours

    Tanzania iliyopanda hadi uchumi wa kati kwa mwaka wa tano yashindwa kupandisha mishahara

    Yani humu kumekuwa kama FB. Watu hawana hata idea ya uchumi ila wanajifanya wachumi. Ngoja nirudi tu twitter.
  11. Zero Hours

    Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

    Ila kweli asee.... mimi nilokuwa najiuliza hiki kimbunga kunapopita kinapita kwenye visiwa mbalimbal kama ila hatukusikia maafa kwenye kisiwa hata kimoja. Inawezekana hakukuwa na kimbunga.
Back
Top Bottom