Recent content by hamisisalum

  1. H

    Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    Mkuu kuna jua la bure usisahau wenzetu wameona kuna ukame huko nje yanaset power plant kwa nini hapa kwetu hatubadiliki
  2. H

    Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    Bro amount ya maji yanayotumika kuzungusha turbines ni kidogo sana af inshu nyingine ni construction time in short plant ya power kwa gas ingeshakuwa imeisha af tungekuwa na uhakika wa long time coz mi cjawahi sikia eti gas powered plant imesimama coz ya ukame ila nowadays nasikia mara china...
  3. H

    Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    Hii nchi bna! Now nasikia 'kuna mabadiliko ya tabia ya nchi ndio maana ememe unasumbua coz vyanzo vya maji vimekauka' sasa najiuliza hili bwawa la Nyerere wanalijengea na mvua yake au coz kama sivyo after muongo mmoja or so tutajikuta nalo maji halina tunarudi tena kwenye mgao.
Back
Top Bottom