Recent content by GreatConqueror

  1. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Du! Noma
  2. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Kama MWAKYEMBE na MAGUFULI wanafanya uhuni huu basi CCM imedhamiria kuwazika Watanzania!!!

    Simple! Ndugu Paul Kijoka amka mapema uende pale ubungo maziwa ukawaeleweshe waTZ wenzio ndani ya treni au wanaosubiri treni kwamba hicho "WANACHOSHABIKIA" ni "UHUNI". Then uje utupe majibu!
  3. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Marekani ya waumbua Sitta na Mwakyembe yawasafisha Rostam na Lowassa

    Taarifa ya Wizara ya Nishati "...Tunapenda kuwakumbusha wananchi kwamba isingekuwa mdororo wa kiuchumi duniani ulioathiri utekelezaji wa mradi wa Mnazi Bay (MW 300) na kuchelewa utekelezaji wa mradi wa Kiwira (MW 200), mambo ambayo yalitokea bila kutarajiwa, tatizo la umeme nchini leo hii...
  4. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Marekani ya waumbua Sitta na Mwakyembe yawasafisha Rostam na Lowassa

    Hivi kweli kule Iraq walikuta silaha za maangamizi? Au wakati huo akina Collin Powel walikuwa wanawashauri wasiobobea? Mmh nimeshasahau!
  5. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    Hata mimi nimepata tabu na timing, individuals waliotajwa na uharaka wa kujata "mafisadi" wapya. Itakumbukwa lengo la ziara za mikoani ilikuwa ni maandamano ya issue za rasimu ya katiba. Lakini Serikali ime-preempt kwa kuutoa ili ukarekebishwe, nadhani hapa ndio ikabidi kutafuta cha kusema na...
  6. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Naliona anguko la Kibanda

    Achilia mbali mbunge, bongo tulishawahi kuwa na mkuu wa mkoa, wilaya, mwenyekiti CCM Mkoa na gavana asiye raia. Kwa hiyo bongo hakuna kisichowezekana. Au wewe ni mgeni hapa Tanzania?
  7. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Naliona anguko la Kibanda

    Huyu muiran anatapatapa, hana adui ambaye anaweza kuwa mjinga kiasi hicho. Nadhani kuna kitu anahisi kitamuumbua/kishamuumbua karibuni kwa hiyo anatafuta sympathy, si ajabu hata akazusha kavamiwa nyumbani kwake. Kama kweli kuna watu wanataka sahihi yake waende BRELA wakapewe miongoni mwa...
  8. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe na Magufuli wizara moja; Je kunani?

    Kazi yake ilikuwa kuwezesha kukamatwe watuhumiwa, period. Yaliyoendelea na yanayoendelea kwenye hiyo kesi usimuhusishe, kuna polisi na mahakama ndio wanaopaswa kuulizwa hizo habari!
  9. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania ''Katibu Mkuu wa CCM naye awe mwanamke!''

    Nimevutiwa na hoja ya Makamba kwamba safari hii kamati kuu ya CCM iliona ni vyema kupitisha mwanamke kwenye nafasi ya uspika sababu ni wakati wao na kwa kuwa tangu uhuru hatujawahi kuwa na spika wa kike. Naona chama kama kinawathamini wanawake kingeanzia nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM kwani...
  10. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania GE2010 Ninaomba kura zenu ili niwe Rais wenu

    ...Tunakujua! Tunakuamini!...
  11. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Mapya kuhusu Bashe: Masha anatumikia rais gani?

    Binafsi safari hii siko interested sana na kama Bashe kama ni raia au si raia kwani Masha ameshathibitisha kwa mamlaka aliyo nayo. Ila nimevutiwa na mchakato wa kuthibitisha uraia wa Bashe. Kwamba Bashe aliandika barua kwa Masha akilalamikia "upotoshaji" wa uraia wake uliofanywa na CCM (hasa...
  12. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania GE2010 Nini Tofauti ya Mramba, Chenge NA Mwakalebela?

    Mbona Ndolanga na Rage walishawahi kushinda kura za maoni na kutoswa (kama sikosei mwaka 2000) japo kesi yao mahakamani haikuwa inahusiana na uchaguzi?
  13. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

    Weye ndio unachanganya, huyu hakubadili jina bali alitumia NAFASI NA JINA la mtu mwingine kuendelea na masomo. Tunabadilisha majina yetu wenyewe bila kutumia majina ya watu wengine. Kwani ukitumia cheti cha mtu mwingine huwezi kuitwa umebadili jina ila umefanya UDANGANYIFU. So alichofanya huyu...
  14. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

    I saw this coming! Will the real Kigwangala please stand up? Wapinzani wanapaswa kutulia avute form. Hili jimbo lao, without a fight!
  15. GreatConqueror

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    CUF walishafanya uteuzi wa wagombea ubunge na kwa Nzega atasimama diwani wa zamani wa Nzega mjini Clement Dominic Kizwalo. Hata akionekana ni raia na akagombea upinzani bado hatakuwa na uhakika wa kushinda kwani hilo la uraia lishamchafua ila kikubwa ushindi alioupata dhidi ya Seleli...
Back
Top Bottom