Recent content by Lyetu

  1. Lyetu

    Nyie watanzania ni lini mtaacha tabia zenu za kibaguzi dhidi ya wahitimu ya digiriiii?

    Sio matusi mkuu, Mtu anaenda shule miaka 13 ambayo ni darasa la kwanza hadi kidato cha sita ila package aliyonayo Kichwani ni kujua kusoma na kuandika kwa ufasaha lugha ya kiswahili na kingereza baaaasi hana kingine. Huyu mtu kwa elimu hiyo ungetarajia afanye yale yanayofanywa na darasa la7 au...
  2. Lyetu

    Nyie watanzania ni lini mtaacha tabia zenu za kibaguzi dhidi ya wahitimu ya digiriiii?

    Binafsi kwa elimu yangu ndogo ya QT nimebaini tatizo sio ajira pekeake. Elimu mbovu ni tatizo pia, inatoa wahitimu wajinga. Ukitaka kujua tuna elimu mbovu inayozalisha wajinga achana na habari za mitaji pitia hata mawazo tu ya hawa wahitimu utagundua walienda shule kukua waje mtaani wafanye vibarua
  3. Lyetu

    Pamoja na kusemekana ni mkoa wa kihalifu, Ni kwanini kuna matukio machache ya uhalifu Mara.

    Mkoa wa Mara unayo makabila maarufu kama:- -Wakurya -Wazanaki -Wajaluo -Wajita -Wasimbiti -Wakwaya -Wakiroba Na makabila mengineyo ambayo sio maarufu sana. Kati ya hayo makabila mengi yaliyopo mkoa wa Mara ni kabila moja tu la wakurya ndilo kabila linalosifika kuwa na watu wenye hasira kali...
  4. Lyetu

    Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

    Kama nakuelewa vile, Polisi wakiume haruhusuwi kumpekua maungoni mtuhumiwa wa kike, iweje daktari wa kiume aruhusiwe kuona na kushika uchi wa mwanamke?
  5. Lyetu

    Ni ama Makonda aingie kwenye mfumo wa Wana-Arusha au kinyume chake

    Labda mama amkanye, akimuacha atawararua na hakuna kitu mtamfanya
  6. Lyetu

    Mwanaume zingatia haya mambo madogo

    Oya kuna rafiki yangu huyo anabembeleza ni hatari, huyo mkewako usiyemchekea wala kumwambia unampenda pale hachomoi, ndani ya sekunde 360 anakuwa keshaliwa. Jamaa Simu yake inanamba nyingi za wake za watu, ukisoma sms sasa utakuta mke wa mtu kaandika mmewangu hajui kumbembeleza mwanamke ila...
  7. Lyetu

    Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    Sawa miradi yote haina tija, Tuelimishe mbadala wa Bwawa ungekuwa nini? Gesi ambayo imeshauzwa? Mbadala wa Ndege ungekuwa nini? Kuendelea kuitegemea Kenya airways na Ethiopia kwa safari za kimataifa za abiria na mizigo? Mbadala wa reli ya kisasa ungekuwa nini? Malori? Meli au bajaji? Mbadala...
  8. Lyetu

    Makonda kupelekwa Arusha ni mtego

    Yule sio mwanasiasa ni siraha inayotolewa kabatini kutekeleza mission iliyopo mbele yao. Wewe unamuona anatumika kumbe ndiyo kazi take Yule ni mtu wa drama kuna kazi ametumwa kuifanya pale, ingekuwa ni teuzi ya kawaida alipaswa aende mkoa wa Mara
  9. Lyetu

    Msaada: Nimuoe huyu binti au nisikilize ushauri wa Wazazi wangu?

    Kwahiyo huyu binti mmemgeuza mashine ya kutotoleshea sindio? Mnamzalisha mnaenda kuoa wengine! Mtoto wa miaka mitano ni mkubwa aende kwa baba ake ili binti nae afaidi ndoto zake kuitwa mke. Aliyetangulia aliharibu ila wewe unakwenda kuharibu zaidi, huyu binti akiwa na watoto wawili haoleki...
  10. Lyetu

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Nikweli ni kanchi ka wajinga na sheria zao zimekaa kijingajinga vilevile kama walivyo wao
  11. Lyetu

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Kuna wakati mtu unawaza ujinga ndio uislamu au uislamu ndio ujinga? Mmehamisha ratiba ya kula mchana kwenda usiku, mnakula samoja, sanne mnakula tena na sakumi mnakula, Alafu bado ukimuona mtu anakula eti anakushawishi. Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu cha mwisho.
  12. Lyetu

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Eheeee smartphone ishandondokea mikononi mwa mjinga. Saivi ukitaka kujua kiwango cha ujinga wa mtu mpe smartphone na bando alafu kaa usubiri matokeo.
  13. Lyetu

    Nina Milioni 16, naombeni ushauri

    Samahani, ila ukweli nikwamba pesa imeenda pahali pasipostahili. Nashauri unyang'anywe hiyo pesa hadi siku utayojua kazi ya pesa ninini. Pesa inatafutwa kwa kusudi fulani, sio kwenda tu kutafuta. Kama huna kusudi la kutafuta pesa, hiyo pesa igawe na uache kazi. Ukipata kusudi utatafuta tena.
  14. Lyetu

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Nimeshaamua hivyo, Mali zangu lazima wazazi wangu wafaidi, wao ndio walionitengeneza. Imefika hatua wanaume tunatafuta mali za kunufaisha ukweni. Ukiondoka wanaobaki wanakenua meno na kufaidi mali zako ni mke, watoto na ndugu wa mkeo. Huu upumbavu sifanyi
Back
Top Bottom