Recent content by Strong Side

  1. Strong Side

    Natafuta chimbo la chupi na kadeti

    Weka namba yako tuongee mkuu hiyo anapokea mtu back kabisa
  2. Strong Side

    Msaada kwa wenye uzoefu wa friji kati ya BOSS na Mr UK

    Update:[emoji116] Nilifanikiwa kununua friji la BOSS lita 145. Friji ipo njema sanaaaa sijutii kulinunua. Asanteni pia kwa ushauri wenu nyote mliohusika kunipa ushauri mbalimbali [emoji120]
  3. Strong Side

    Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

    Hawa wanapatikana sehemu gani mkuu na je unaweza nisaidia mawasiliano yao
  4. Strong Side

    Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

    Naomba kufahamu gharama za kutoa pesa kwa kutumia VISA Card Yaani mfano unae card ya CRDB unaenda kutoa pesa NMB au NBC n.k hapo gharama zikoje wajuzi?
  5. Strong Side

    Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

    Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
  6. Strong Side

    Nimefanikiwa kufanya kazi na Mzungu hiki ndicho nlikibaini kutoka kwao

    Wazungu ni kutoka USA, KANADA na UINGEREZA ndio hawana roho mbaya. Hao wengine hamna kitu
  7. Strong Side

    Kasi ya D Voice inatisha sana. Anawakalisha wakongwe kwenye game

    Ndio nani huyo? weka picha yake tumuone
  8. Strong Side

    D Voice amebakisha siku chache kutambulishwa WCB, dogo ameshaula tayari

    Wakiume au wakike? Nyimbo zake za awali ni zipi?
  9. Strong Side

    Aliyetumia Silent Ocean - naomba msaada wa ufafanuzi

    Huna baya mkuu nitakutafuta unieleweshe vizuri hapa [emoji120]
  10. Strong Side

    Mfahamu muigizaji Kajol

    Bila shaka wewe ni Juma Khani au Chikongwe
  11. Strong Side

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nitakutafuta mkuu unipe ABC
Back
Top Bottom