Recent content by glojos88

  1. G

    Chama kinapowaondoa mashujaa wake: Mbowe, Slaa iweni makini

    nAKUBALIANA NA WEWE MKUU
  2. G

    Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    Suala la imani sio shida. Suala ni namna unavyotafsiri imani kwa kutumia busara na hekima au unavyoiacha busara ya kawaida.
  3. G

    Tunapowazawadia vyeo watuhumiwa wa wizi tunawafundisha nini vizazi vijavyo?

    Nashindwa kuelewa tunapoenda kimaadili katika nchi yetu na je ni ujumbe gani tunaoupeleka kwa vizazi vijavyo? Ninaposikia watuhumiwa wakubwa wa ufisadi wakipewa vyeo bungeni na kwenye vyama vyao, ninabaki na maswali mengi. 1. Ina maana hakuna watu wengine wanaowazidi hao kwa sifa? 2. Ina...
  4. G

    SMZ kulipa garama zote za uharibifu wa makanisa

    Tuna mpango wa kuongea na viongozi Wa kikristo ili jambo hili lipelekwe kwenye jumuiya ya kimataifa. Kwani serikali inaonekana kufumbia macho.
  5. G

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Wamefika 9 sasa.
  6. G

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Wamefika 9 sasa.
  7. G

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Asante kwa kujazia.
  8. G

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Sijaweza kujua hasa sababu au mkakati Wa uteuzi wa waandishi wa habari wengi kwenye ukuu Wa Wilaya. Kwa uchache nimewatambua wafuatao. 1. Novatus Makunga 2. Muhingo Rweyemamu 3. Jacquline Liana 4. Suleyman Kumchaya 5. Elizabeth Mkwasa 6. Sara Dumba (ameongezwa) 7. Halima Kiemba...
  9. G

    Wenye busara CCM fanyeni mahesabu Nape soma hii

    Nape JIBU HII. Umeombwa usijibu kisiasa hivyo ni sawa usipojibu haraka. Ila usiache kujibu
  10. G

    Wenye busara CCM fanyeni mahesabu Nape soma hii

    Wanaotafuta heshima ya kweli ni wachache, wengi wanatafuta chakula cha leo na akiba ya baadae. Wenye uchungu ni wachache sana. Mashujaa wa kweli ni wachache sana. Hata baadhi ya wapinzani sio mashujaa wa kweli.
  11. G

    CCM tusilaumiane

    Anahitaji kutubu dhambi hiyo
  12. G

    CCM tusilaumiane

    Kibadikisha jina ni kama shehe anayebadili kanzu huku akibakia yuleyule. Kimebadikisha jina toka TANU na kuwa CCM. Toka cha mapinduzi na kuwa cha Maneno.
  13. G

    Hongera CHADEMA, Tumekubali mmeshinda! Timizeni AHADI zenu!

    Nape wewe ni mtu muungwana na kijana wa maana bado. Nakushauri ujiunge CHADEMA kulinda heshima yako. Ni uamuzi mzito lakinni utaheshimika hata bila cheo chochote. Utabakia wa kuheshimiwa kwani CCM imeonekana kukosa uwezo wa kukemea maovu. Imebakia na kuendeleza maovu na kutumia nguvu kulazimisha...
  14. G

    CCM tusilaumiane

    Ukweli ni kuwa siku za chama zinahesabika kama hakuna mageuzi makubwa. CHADEMA wakitumia muda huu kuzunguka nchi nzima kitaeleweka. Kwa sababu wkati watu wameshindwa hunyong'onyea na kukosa nguvu. Hivyo this is the right time. Pia ni muhimu CHADEMA kutumia muda huu kwani huko MWANZA unyama wa...
  15. G

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Nilisoma thread iliyokuwa inasema: KIGUMU chama Cha Mapinduzi kubadilika, Ni ngumu fikra za mwenyekiti za kuvua gamba. Ni ngumu siasa ya unyama na kujitegea, sorry ni ngumu siasa ya unyama na kujimegea.
Back
Top Bottom