Recent content by grandMullah23m

  1. grandMullah23m

    Gari ipi ya Toyota unaipenda sana?

    Mimi mniseme tu ila binafsi.Kwa kuanzia maisha naenda na IST Toyota kibakuli...nijipakulie zangu wali Nile polepole na wese la elfu kumi
  2. grandMullah23m

    Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    Mi nafkiri Toyota rush 2007/8 inafaa Kwa kuanzia maana naona ni chuma kimetulia na pia kwenye wese sio mbaya sana
  3. grandMullah23m

    Vitu gan umevipiga “BAN”

    Mimi sijui nilingia kwenye setting gani kwenye simu yangu ..Yani huu ni karibu mwaka Sasa siwezi ku access explicit content kupitia simu yangu na kiukweli sijutii kabisa. Pia kwenye magrup uchwara ya whatsap yooote nilidelete na kuanza kutumia namba mpya...[emoji18] Nimejikuta kwenye kusoma...
  4. grandMullah23m

    Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

    Naikubali sana Ina storage ya kutosha na ni jiwe la uhakika kwenye chaji..aise Mimi natumia zaidi ya siku mbili-tatu bila kuchaj kabisa...bila kuzima data
  5. grandMullah23m

    Mrejesho baada ya kung'oa jino. Shikamoo Jino

    Ni kweli kabisa mkuu hapa wanaoelewa wanaelewa tu
  6. grandMullah23m

    Mrejesho baada ya kung'oa jino. Shikamoo Jino

    Nyama zote wananihifadhia mkuu nikipona tu nitazidai🥲
  7. grandMullah23m

    Mrejesho baada ya kung'oa jino. Shikamoo Jino

    Jamani nawaasa na kuwaomba chondechonde tuliheshimu jino. Jino limeniweka kwenye nusu kaput, umwamba wote, mafunzo yote ya kibabe niliyasahau[emoji119] Nimeapa kuwa balozi mzuri kuhusu haya mambo: [emoji117]Tuzingatie usafi wa kinywa siku zote maana haya mambo huwa yanaanza mdogomdogo kama...
  8. grandMullah23m

    Nichague ipi kati ya Nissan Extrail na Toyota Rush?

    Ni kipi kimekufanya ukubali sana...ipojeipoje Yani kwenye wese... performance...nk..labda tuseme hata kwenye ruti ndefu kama dar-moshi
  9. grandMullah23m

    Jino linaniuma

    Ndugu nimejaribu yote haya...mpaka nimeishia kulala mvunguni kwenye ubaridi...angalau nisinzie..[emoji119]
  10. grandMullah23m

    Jino linaniuma

    Linanipa kiwewe sana ndugu yangu
  11. grandMullah23m

    Jino linaniuma

    Ni uji tu ndugu yangu...uji umenitunisha shavu🥲
  12. grandMullah23m

    Jino linaniuma

    Asante ndugu yangu,Kwa maeneo ya hapa ilala aise ni wapi unahisi Kuna afueni maana nikiwaza zile nyundo na tindo za Dokta napatwa kiwewe
  13. grandMullah23m

    Jino linaniuma

    Bia niliacha kunywa miaka mitatu iliyopita baada ya kuoa[emoji17]
  14. grandMullah23m

    Jino linaniuma

    La chini upande wa kushoto..lile kuleee la mwisho[emoji119]
  15. grandMullah23m

    Jino linaniuma

    Kesho ninampango wa kuenda kuling'oa asiee...naona nikiwa mwendawazimu...tuombeane ndugu zangu
Back
Top Bottom